Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

Tiketi ziwe na rangi tofauti
Unaongea rangi za tiketi karne hii? Inahitajika tu hata code inatosha ku scan na kutoa full particulars. Tunatakiwa kuondoka kwenye kubeba ticket za makaratasi tutengenezewe credit card ama tutumie simu zetu tuu
 
Mifumo ya IT kuzingua bongo ni dakika 0 tu.
 
Ni kweli ila kinacho wasumbua hao watumishi TRC ni uvivu na wizi, sioni hata sabb ya Takukuru kuingilia jambo dogo kama hili, wanafuta kiki kwa vitu vidogo sana, wenye mabasi wanafanya je kudhibiti wizi kama huo, manaake manijimenti yote haikufanya feasibility study kabla ya operation, hayo ndo mambo kudhibiti mwanzoni kabisa.......hi nchi sijui iko je kwa kweli.
 
Ulikuwa unafanya vizuri sana kipindi cha max malipo ila waliuvuga wenyewe kwa makusudi kabisa
Hata huo wa SGR wanaweza kuuvuraga ili wajipatie chochote kitu kwa wahuni, tiketi za rangi ndio njia rahisi zaidi. Unakata tiketi mtandaoni ukifika kituoni unaelekea dirisha lenye rangi husika ya kituo chako ku print
 
Na yasipojaa abiria wa vituo hivyo behewa liende tupu?
Kwanza Yanaachaje kujaa na kuna taarifa za watu kukosa tiketi?? Pili ni rahisi zaidi katika ukaguzi ikiwa uliwaongeza abiria wa Dodoma katika mabehewa ya Morogoro, Soga au Ruvu kuliko kuwachanganya wote pamoja tu.
 
Sasa kwani nini wanaifanya??
Ndio nashangaa,grand cirruptuon zinawashinda kila mwaka CAG anatoa ripoti wanafumba macho,wanakimbizana na hawa wa 10000,kwanza hiyo sio rushwa bali wizi na udanganyifu,Kazi ya police
 
ndio tabia zangu hizo kama wamestukia mbona wametuhujumu abiria ngoja nije na mbinu mpya sgr yenyewe kodi zetu tukila sisi kelele mkila nyinyi kimya tena mnateteana shenz ngoja mtapona tu
 
Leo umeongea point toka umejiunga jf hongera ukiendelea hivi utapata mume inshallah.

Na ujinga wa watanzania wengi ndio unawafanya CCM wawe madarakani mpaka muda huu
 
Ndio nashangaa,grand cirruptuon zinawashinda kila mwaka CAG anatoa ripoti wanafumba macho,wanakimbizana na hawa wa 10000,kwanza hiyo sio rushwa bali wizi na udanganyifu,Kazi ya police
Ila kumbuka moja ya majukumu ya TAKOKUU sijui TAKUKURU ni kufuatilia usahihi wa matumizi ya rasilimali za umma. Sasa hapo tafakari kwa upana kama huo wizi na udanganyifu kwenye kulipa nauli ni matumizi sahihi ya rasilimali za umma au la.
 
Sasa hapo internal auditors,risk dept ,revenue adsurance wa TRC wako wapi,police wako wapi,those are petty issues to be solved by takokuru
 
sioni makosa ya wasafiri kwani before project ma swala kama hayo hawakuwaza?
watu wengi wababaishaji sana piga mbwaa!
 
Wabongo ni waizi waizi...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…