Zimba XXV
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,649
- 3,779
NImeshangaa Takukuru asaivi hata vitumbua vikipanda bei wanakuja na matamkoHiyo sio kazi ya takukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NImeshangaa Takukuru asaivi hata vitumbua vikipanda bei wanakuja na matamkoHiyo sio kazi ya takukuru
Abiria wanaotumia Treni ya SGR kutoka Dar es salaam - Morogoro hadi Dodoma wametuhumiwa kuhujumu shirika la reli Tanzania TRC kwa kutolipa nauli ambazo zianendana na sehemu wanazoelekea au vituo wanavyoshukia.
Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro Christopher Mwakajinga amesema abiria wamekuwa wakikata tiketi za vituo vya njiani na pindi treni inapofika katika vituo hivyo wamekuwa hawashuki na kuendelea na safari hadi mwisho wa kituo cha Morogoro au Dodoma kinyume na tiketi walizokata.
Mwakajinga amesema kuwa kwa kushirikiana na TRC wameanzisha mfumo wa kuwabaini na kuwakamata abiria hao wanaofanya udanganyifu wa kukata tiketi ambazo haziendani na wanakoelekea
Ubarikiwe kwa kuusema Ukweli.Tanzania tuna tatizo la malezi.
Watu hawana maadili.
Ukisema maadili, watanzania wengi watafikiria ni kuvaa nguo ndefu, kusalimia shikamoo na kutotumia lugha za matusi.
Lakini hatusisitiziwi kuwa waaminifu, wachapakazi, wenye bidii, wawajibikaji, wazalendo n.k
Haya ndiyo maadili sasa!
Kama malezi yetu hayatabadilika, tutaendelea kuwa taifa la watu wa hovyo kwa muda mrefu sana.