kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie mashtaka.
Baada ya clip ile kusambaa na watu kupiga kelele Takukuru na Polisi waliibuka na kudai Askari hao wamefukuzw kazi na watafikishwa mahakamani. Lakini Hadi leo hakuna updates za kesi waliyofunguliwa.
Leo mahakamani moja ya swali aliloulizwa Mahita Ni endapo ana Taarifa kwamba mmoja wa Askari waliyeshirikiana naye kuwakamata akina Adamoo amefukuzwa kazi kwa kubambikiwa Mzee mmoja kesi huko Arusha ambapo Mahita amekiri kwamba Ni kweli.
Kama Sabaya amethibitika ni mhalifu, waliowakamata akina Adamoo nao wanakamatwa kwa tuhuma zakuchukua milioni Mia Moja kwa mstaafu Tena kwakumbambikia meno ya tembo kwenye mizinga ya asali, then Kingai anamtamkia Mtuhumiwa kwamba ataakikisha anafungwa, wakati huo huo Ugaidi wa Kilimanjaro unashughulikiwa na Askari wa Arusha ambao kwa miaka yote awakuwahi kujua uhalifu wa Sabaya.....hii inatoa picha gani kwa mfumo wa serikali? Kwamba upo uhalifu umebarikiwa na serikali na wanaotenda uhalifu huo wanakuwa rewarded nakuonekana mashujaa kwenye utendaji wa serikali?