Baadhi ya Askari Waliotuhumiwa kupora milioni Mia Moja ni mashahidi kesi ya Mbowe

Baadhi ya Askari Waliotuhumiwa kupora milioni Mia Moja ni mashahidi kesi ya Mbowe

Halafu bado mahakama ina endekeza hii kesi. Mashahidi wa serikali ni majambazi. Anae tuhumiwa kufanyiwa ugaidi ni jambazi na yuko magereza kwa ujambazi. Hii ina tokea tuu Tanzania nchi ambayo mahakama inaendeshwa na vyombo vya dola kumfurahisha malkia/ mfalme.
Haiwezekani kushirikiana na sabaya ukawa muadilifu, eti jambazi akitaka kudhuriwa, mitaani siku zote vibaka, majambazi, wezi wanauwawa na jamii haijali, leo jambazi ametunga tamthilia, watu wako mahakamani, ni ajabu kuamini maelezo yao!
 
Hivi mtu ambaye anashitakiwa kwa kuendesha genge la uhalifu anapaswa kuwa shahidi?. Inawezekana Mbowe alikuwa anajilinda dhidi ya hili genge baada ya kujua kuwa mbinu zao zimejulikana ikabidi hili genge licungue kesi ya ugaidi dhidi yake ili adhima ya kumpoteza itimie. Hii kesi ni ujinga mtupu futilia mbali huko
Dunia inaona, usihofu.
 
Hawa akina kingai ndio walikuwa kundi la mwendakuzimu la watu wasiojulikana. Tulisema sana kuhusu hili kundi kuwa ni la kutoka vyombo vya ulinzi na usalama, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilifahamu na kutoa ushirikiano kuwa wakosoaji wote wadhuriwe, kutekwa hata kuuwawa.
 
Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie mashtaka.
Iweke hiyo clip mbona unaleta mambo nusunusu
 
Maana yake Genge la jambazi saambaya ngomeyake chuga na linawatu wasistimu ndani ndomana amefanya ujambazi na hawakumshika badalayake akawaagiza wakamshike mwamba

Usiruhusu hisia hasi zikuongoze....mahakama itatenda haki tu ondoa hofu.
Hata mimi itanichukua muda sana kuamini kwamba jaji msomi awabebe empty headed!!
 
Hawa akina kingai ndio walikuwa kundi la mwendakuzimu la watu wasiojulikana. Tulisema sana kuhusu hili kundi kuwa ni la kutoka vyombo vya ulinzi na usalama, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilifahamu na kutoa ushirikiano kuwa wakosoaji wote wadhuriwe, kutekwa hata kuuwawa.
Hupati shida kujua mpaka sasa ni nani alimpiga risasi tundu lissu
 
sasa mkuu hili linamsaidiaje Mbowe na kesi yake?
Mkuu, wakati mwingine ni bora ukapita unasoma tu comments za watu unaweza ukaelimika. Uwezo wako mdogo wa reasoning ndiyo maana huwezi kuona logical sequences zilizopo hapo. Kwa akili hizi, hata maswali ya mawakili huwezi kuelewa logics zake.
 
Sielewini, sioni, na haipo
Huna akili ya kuelewa chochote zaidi ya kulamba viatu vya watawala.
JamiiForums313878302.jpg
 
Jamani hii kesi ilisukwa na akina sabaya na kingai mwenyewe, ilikosa ushahidi wa kina ndio maana mwendazake wakaiweka kapuni.
Mama aliaminishwa na akakubali bila kufanya uchunguzi wake, na haya ndio matokeo yake. wanapoteza pesa za walipa kodi kwa ujinga na ushetani mtupu
 
Mkuu, wakati mwingine ni bora ukapita unasoma tu comments za watu unaweza ukaelimika. Uwezo wako mdogo wa reasoning ndiyo maana huwezi kuona logical sequences zilizopo hapo. Kwa akili hizi, hata maswali ya mawakili huwezi kuelewa logics zake.
Huyo kilaza ana akili za kuvukia barabara na kwendea chooni tu.
 
Maana yake kulikuwa/kuna kundi la uhalifu ndani ya serikali, na linalo endesha vitendo vya kijambazi/uhalifu, kwa raia wema.

Jaji alitakiwa aifutilie mbali hii kesi! Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! mhimili mmoja kati ya ile mitatu una mizizi iliyo jichimbia chini zaidi kuliko ile miwili mingine.
KUNA MAJAJI WAMEPACHIKWA KWENYE MAHAKAMA KUJA KUNAJISI MFUMO WA KIMAHAKAMA....YANI HAWA NI MAALUM TOKA SERIKALINI....KINACHOFANYIKA WAO HAWAJALI TAALUMA NA WELEDI WA CHOMBO HIKI....LEGACY YA MAHAKAMA ZETU INAVYOHARIBIKA WAO THEY ARE LESS CONCERN .....HIVYO MAJAJI HASA NA WASOMI MLIO KWENYE TAALUMA HIYO MMEINGILIWA.....UMAKINI WA MWENEDO WA WENZENU UNAHITAJIKA MNO
 
Kabisa, waliompiga risasi ni hawa hawa akina Kingai na kina Sabaya, Makonda nk.
Sasa kuna faida gani kuwakumbatia hawa MBUSUSU kwa ustawi wa nchi hata kama kuna tofauti ya itikadi za kisiasa.
 
Back
Top Bottom