tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Hivi jaji ana mamlaka ya kufuta kesi?Maana yake kulikuwa/kuna kundi la uhalifu ndani ya serikali, na linalo endesha vitendo vya kijambazi/uhalifu, kwa raia wema.
Jaji alitakiwa aifutilie mbali hii kesi! Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! mhimili mmoja kati ya ile mitatu una mizizi iliyo jichimbia chini zaidi kuliko ile miwili mingine.