Hivi jaji ana mamlaka ya kufuta kesi?Maana yake kulikuwa/kuna kundi la uhalifu ndani ya serikali, na linalo endesha vitendo vya kijambazi/uhalifu, kwa raia wema.
Jaji alitakiwa aifutilie mbali hii kesi! Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! mhimili mmoja kati ya ile mitatu una mizizi iliyo jichimbia chini zaidi kuliko ile miwili mingine.
Siyo kweli mkuu wa nchi ashatoa hukumu kwenye interview ya bbcUsiruhusu hisia hasi zikuongoze....mahakama itatenda haki tu ondoa hofu.
Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie mashtaka.
Sasa mkuu hili linamsaidiaje Mbowe na kesi yake?Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie mashtaka.
Siyo kutenda haki tu mdomoni, lazima ionekane kuwa haki inatendeka. Mpaka sasa haki imepokwa kwenye kesi hii na aliyetumika kupoka haki hiyo ameshazawadiwa cheo.Usiruhusu hisia hasi zikuongoze....mahakama itatenda haki tu ondoa hofu.
Hawezi kusafisha kwani na yeye ni mshiriki wa huu uharamia,rejea mahojiano yake na Salim Kikeke wa BBC,alishatoa hukumu,majaji wanachofanya ni ku justify hukumu ya Hangaya.Tulikuwa tunaongozwa na serikali ya majambazi tupu.
Itamchukua muda mrefu Rais Samia kusafisha haya maharamia.
DPP ndiye anaweza kuiondoa kesi mahakamani kwani ndiye mshitaki.Hivi jaji ana mamlaka ya kufuta kesi?
Siyo kama, bali inaongozwa kihuni.Inaudhi sana yani hii nchi inaongozwa kama genge la wahuni
Ungekuwa na akili japo kiduchu tu ungeelewa.sasa mkuu hili linamsaidiaje Mbowe na kesi yake?
Huna habari kwamba huko Singida kuna mtu katolewa Jela saa3 usiku na kwenda kuwa mBungeHivi jaji ana mamlaka ya kufuta kesi?
Ila Zakaria aliupiga mwingi alimtandika yule dhalim risasi ya matako kudadadeqNi Sawa na Lile Genge la watekaji, walivyomfata Zakaria wa Mabus, akawawahi! Badala yake Zakaria ndio akashtakiwa kwa kujeruhi
Yule kichwani hamna kituHawezi kusafisha kwani na yeye ni mshiriki wa huu uharamia,rejea mahojiano yake na Salim Kikeke wa BBC,alishatoa hukumu,majaji wanachofanya ni ku justify hukumu ya Hangaya.
Walimkimbiza sauzi afrika sijui hali yake ikoje hadi leoIla Zakaria aliupiga mwingi alimtandika yule dhalim risasi ya matako kudadadeq