Baadhi ya contacts wanaweka status za Palestina sijawahi kuwasumbua, leo nimewka Status za Israel nimevamiwa inbox bila salamu

Baadhi ya contacts wanaweka status za Palestina sijawahi kuwasumbua, leo nimewka Status za Israel nimevamiwa inbox bila salamu

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status za kuonyesha huruma Israel inapotoa dozi.

Napenda sana kutazama status, lakini huwa nashangaa sana kuna baadhi ya contacts status zao lazima waweke ya Palestina, huwa nashangaa hii juhudi wanaitoa wapi.

Leo hii nikaona nifanye jaribio dogo nimeweka status ya Netanyahu, Video ya marubani wa kike walioenda kuishambulia iran mwezi uliopita na wote kurejea salama na picha ya viongozi wakuu waliotunguliwa na Israel.

Inbox imevamiwa !! kuna wengine mara ya mwisho tumechat 2018, mesej nilizopokea za kunishambulia ni nyingi sana, imebidi tu niyamalize haraka nimezifuta zote,

Kuna tatizo gani kuweka status za Israel na kuanza kushambuliwa bila hoja ?
 
Back
Top Bottom