realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili.
Nini kinasababisha yote haya?
Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu?
Au kulea ugonjwa nyumbani na kwenda hospitali ugonjwa ukiwa katika hatua mbaya zaidi? Au shida iko wapi wakuu?