Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

Ooooh wanatengeneza kabisa dawa mkuu..
Ni private au..
Ndio mkuu ni private maana kwa majina tu utajua
Nime Google na kuzisoma baadhi nimekutana na hii ambayo inasema zipo 14 na kati ya hizo 11 zinatengeneza za binadamu
Screenshot_20240824_080819_Google~2.png
 
Sawa sawa mkuu hapo nimekuelewa maana kilicho kuwa najua haya mambo ni very complex kama tumefikia huku alhamdullilaah
Nilipokuwa mdogo miaka ya 60 -70 nakumbuka zilikuwa nyingi tu zinatengenezwa nchini na pia zilikuwepo za kutoka Kenya tangu mkoloni
Ukikohoa tu unapewa dawa zetu na usingizi unapita
Sijui siku tunakwama wapi
 
Mkuu huwenda haya mambo acha tuu ngoja tuone ila nachojua kuna vigezo vingi vinatumika mpaka kuruhusiwa kuweka dawa...

Hivo viwanda ulivyosema utakuna ni zile dawa za watoto nahisi
 
Mkuu huwenda haya mambo acha tuu ngoja tuone ila nachojua kuna vigezo vingi vinatumika mpaka kuruhusiwa kuweka dawa...

Hivo viwanda ulivyosema utakuna ni zile dawa za watoto nahisi
Hebu nenda pharmacy yeyote uliza dawa za ndani za wakubwa zipo?
Usijidharau hivyo kwani dawa zilikuwepo tangu enzi ila tuko wavivu tu naona
Tukitaka mbona kwa Mungu madogo haya
Ni jitihada tu
 
Siyo kura tu hata ufisadi kwenye mapenzi ina mchango mkubwa kwenye magonjwa tunayopata. Pia kama tutapona au la. Especially kama mtu haombi msamaha kwa nia
Sasa nimekuelewa
 
  1. Alteration of Pathogens' genome; thus, makes complex treatment of disease.
  2. Fake medicine
  3. Low natural immunity to the patients.
 
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili.

Nini kinasababisha yote haya?

Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu?
Au kulea ugonjwa nyumbani na kwenda hospitali ugonjwa ukiwa katika hatua mbaya zaidi? Au shida iko wapi wakuu?
Nenda Kwenye tiba ya homeopathy na naturopathy
 
Halafu anarudi Hospitali
Kwenda kufa
Baada ya mganga wa kienyeji kumlisha mpaka Mavi ya mjusi na uchafu a kila aina mpaka Mayai yaliooza
Atapona kweli huyo
Wanawalaumu Dr's sana huku wakisema Tunamuachia Mungu
 
Unapo sema habari za vijiweni unakosea sababu wakaaji wa vijiweni ni sisi wenyewe je tukaapo vijiweni tunapungukiwa ufahamu? pia afya ina muhusu kila mtu na ukizingatia hakuna daktari anae tengeneza dawa labda daktari wa tiba asili na tiba mbadala
 
Back
Top Bottom