Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

Itakuwa ni company ya watu wasio jielewa, na hata ukiifatilia sasa hivi unaeza kuta haina mabadiriko yoyote
 
Mkuu hata Mimi hii imewahi kunitokea ila kuna boss Mbongo akaweka barrier baada ya maboss wahindi kukuikubali.

Ikabidi awaweke pembeni hao wahindi na kuniambia nisubiri mpaka bodi iridhie. Nikapigwa chenga za mwili kwa miadi hewa na maneno.
Wakati kuna mhindi mmoja akikuwa anahitaji jambo lianze mapema.Project hata wakiifanya isingeweza kufanikiwa parefu sana maana.
 
Mkuu inaonesha muda wako mwingi unautumia ukiwa majini sana.
 
Duh pole boss! MTz mwenzako akakuzunguka!
Ila kama ulivyoainisha kuna project nyingine zinahitaji mhusika mwenyewe aliyedesign ashike usukani ili zikamilike hadi mwisho.Mara nyingi wanaowafanyia watu hivi huwa mwishoni hawafaidiki na chochote maana nahodha wa chombo hamna lazima kiende mlama!
 
Mkuu wewe wafikiria kuajiriwa, wenzako wanataka kuajiri. Mentality ya kimasikini sana hiyo.

 
Hapana mkuu, tupo pamoja nchi kavu.
Nimewekeza muda na akili kwenye fani yangu ya Marine.
Hii sector nayo inatisha kama Ile ya madini ukiwa hujawai kuchimba madini mtu akiku-invite unahisi anataka kunitoa sadaka nini na huku kuna jamaa aliwai kuniuliza unaweza kuvua tuingie baharini nikaona aah wee.

Nchi kavu tunasikia fursa nyingi za pesa mtu akiwa na Mtaji kama wa 6M unawezaje Double fasta iyo pesa kwenye hiyo sector.
 
Dadavua vizur basi ili kumsawishi mwenye mtoto juu yahili usemalo maana hata sisi tuliambiwa ivyo wakati huo ila mambo tofauti saivi

Lakini pia hatujui mpaka huyo mtoto atakavokuja kuhold hicho kitu bado mazingira yatakuwa kam unavofikiria saivi

Yote tisa kumi nyie mlozaa nakuwapangia watoto wenu chakusomea chukueni ushauri hapo
 
Mkuu uvuvi ni vifaa na ni tofauti na madini. Ambayo unatafuta jiwe mpaka ulipate ni muda mrefu. Kama ukivua kisasa utapata mazao mengi na ukienda leo unarudi na mzigo.

Tatizo hata ukiwa na mtaji barrier nyingi ni mamlaka kama watu wa kutoa vibali,mapato na kusajili meli.

Mazingira yetu sio rafiki hayakusapoti kwenda mbele, ukiweka mtaji utajikuta unanufaisha watu wengine.
 
Dah mkuu unatu motivation speaker au ya kweli haya.

Yaani utaamjniwa vipi bila cheti sasa??
Hebu tufafanulie kabla hatujaenda darasani.
Me nilisoma ICT(informational communication technology)
We nae...ICT mambo ya watoto hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…