joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ni vitabu gan kwenye nertwork ulipiga brother unisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vitabu gan kwenye nertwork ulipiga brother unisaidie
Lazima uwe vizuri kwenyeUngeongezea na nyamanyama, unasoma vitu gani na unakuwa nani etc.
Hao wanao si wapo daslam sio eehh maana huku ndo penyewe mkuuuNakukatalia mimi toka nimalize chuo nina miaka saba,jamaa zangu kwenye field hii ya cyber wana miaka mitano,najua ninacho kiongea.Programming ni shughuli si ya kitoto,programming wana gusa gusa tu ila sio deep,wazuri kwenye Server,Linux,Networking na Database kidogo.
Nina wanangu watatummoja yupo eGA programmer anapiga kazi kampuni mbili,hapo kuna viproject vidogo vidogo vya pembeni kwa wiki hakosi laki tano.
Mwengine kajenga ndani ya mwaka,huyu ndio hatari hii Java na C++ anaipiga tokea yupo advance ,huyu sasa anachukuliwa kutengeneza zile system konki na makampuni makubwa.
Mwengine tulivyo maliza chuo kasema yy hatoajiliwa na kweli sasa komaa kama miaka miaka mitatu,sasa hivi anapata project mfululizo na ndiye aliye nishauri nikazanie code.
Unapiga ishu gani sasaMkuu sio general. Mie by Pro.. ni Mechanical Eng, nina Bacheraol ya IT na nina PGD ya Electrical.. na ni certified Penetration Tester.. programing nilikuwa najua zaidi hata ya ma programer. Kwenye field ya Security nilikuwa nawalaza na ukija kwenye programing na kulaza.. sema now days nimeacha vyote niliona upumbavu nanufaisha watu
Mshahara ulikuwa mdogo au ni nnNilifanya hizi kazi za cyber na baadhi ya taasisi na walikuwa wananipiga hela.. tokea hapo nikaona upumbavu sana.. nikaacha hadi leo.. ila naamini ningekuwa mbali sanaa.. kiuzoefu na ki ujuzi.. ila ndio bongo yetu hii
Hivi mpaka leo jamaa zako wanaopiga hela mkuu mi ni yankiii sana nipo 1 year nakomaa nayo sii haba mkuuuDah umeacha programming? Mimi mwenyewe najuata kwa nini sikusoma programming mwanzoni watu wanapiga hela.
Kaka dm yako naipataje mana nataka maelekezo ya vitu kazaa vya it kabla cjachagua kozi chuoniNani kwa kwambia,mimi mwenyewe nipo kwenye field hii IT (Network Engineer) najua walio wengi hawajui Code,nina marafiki kibao eGA ,TCRA code weupe wana idea tu.
Wazuri tu wakutumia tools hizi za Kali Linux,Parrot OS nk.
Code kuijulia huju ukubwani kazi,mimi mwenyewe field yangu sasa hivi inanitaka nijue code ndio nahangaika nayo.