Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

Hao wanao si wapo daslam sio eehh maana huku ndo penyewe mkuuu
 
Unapiga ishu gani sasa
 
Nilifanya hizi kazi za cyber na baadhi ya taasisi na walikuwa wananipiga hela.. tokea hapo nikaona upumbavu sana.. nikaacha hadi leo.. ila naamini ningekuwa mbali sanaa.. kiuzoefu na ki ujuzi.. ila ndio bongo yetu hii
Mshahara ulikuwa mdogo au ni nn
 
Dah umeacha programming? Mimi mwenyewe najuata kwa nini sikusoma programming mwanzoni watu wanapiga hela.
Hivi mpaka leo jamaa zako wanaopiga hela mkuu mi ni yankiii sana nipo 1 year nakomaa nayo sii haba mkuuu

Nataka ni invest nguvu huku
 
Kaka dm yako naipataje mana nataka maelekezo ya vitu kazaa vya it kabla cjachagua kozi chuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…