PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna aliyetegemea Chadema kuwa Huru siku Moja lakini Leo maandiko yametimia

Ili kupata TUI ni lazima nazi ipasuliwe na kukamuliwa

Mfupa uliomshinda Zitto Kabwe TLS wameusambaratisha

Tanganyika Law kama nawaona πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakika bwashee...hili ni kundi la watu washenzi sana..
Siku zote wanawaongopea wenzao....
Kokote waendako hawatoboi tena wasijaribu CCM kabisaa
 
Safi sana ondokeni, chadema aitaki watu wenye tamaa ya fedha katika mapambano.
 
Kati yao Hakuna mtu yoyote mwenye ushawishi hata mtaani kwake

Mission imefeli, Waende waendako mamluki wakubwa
 
Hatimaye Chadema imeutua huu mzigo kwa njia ya amani. Tunawatakia kheri huko waendako.
 
Chadema imeshakufa...
Hakika imekufa ....haya weka tume huru halafu TWENDE kwenye mbungi !?? Unaweka Mpira Kwapani ...kama chama marehemu unakiogopa hivi nani marehemu Sasa kati ya CCM na chadema ...!?? Weka tume huru weka kanuni favourable kote...matokeo yote yaweze kupingwa mahakamani na Wasimamizi wa uchaguzi waweze kushitakiwa halafu TWENDE kati ...mbioooo..halafu mnaita chadema marehemu..utakuwa na uji mwingi sana kichwani ...
 
Hakuna tena kufanya biashara kwenye maisha ya watu aisee,nyie nendeni kwa amani tu,lakini mawazo ya kusema chadema inakufa hilo msahau.
 
Hata waende chama gani chadema haitatetereka.

Chadema imewahi kuondokewa na viongozi wakubwa ikiwemo makatibu wake na wengine wakaanzisa chama kama kile cha Sauti ya Umma na bado CHADEMA ilizidi kuimarika zaidi

Siwaoni hawa kina kigaila zaidi ya 2030 kazi yao itakapokuwa imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…