PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bwahaaa bwahaaa nimecheka vibaya sana, nakumbuka story za Yericko Nyerere ukishindwa hakuna kuhama chama. Leo tumejua akina nani walikuwa cdm kwa maslahi ya ccm.
 
..hakukuwa na sababu ya press conference kama bado hamjamaliza tathmini wapi muende au nini kinafuatia, bora wangebaki kimya kwa sababu bado wanaamini ccm haistahili kuendelea kuongoza!

Hakuna kitu salimu achana na uswahili wa staili ya kikwete, wewe kaa pembeni uangalie, mmeshindwa kulinda wananchama wenu kila leo wanauawa na kuteswa mpo tu! km hata haya huyataji means hutoshi kuendelea kuwa kiongozi, hujitambui..!
 
Tuliwaambia Lisu dikteta ataiua CHADEMA
Hawa walikuwa wagombea wana watu wengi wana CHADEMA nyuma yao wataondoka nao wengi mno
 
Youtube G-55 wapo live kupitia Chanel ya CHADEMA tukiyoambiwa imehakiwa
 
Sasa tungoje matusi. CDM ya sasa inasema haiwahitaji basi wawaache waende watakakoenda. Tutajua hivi karibuni tu kuwa nani kafanya uamuzi sahihi. Kuwaita wasaliti au kuwachagulia chama cha kwenda hakutajenga CDM. Hao sasa sio wanachama wake, wasipoteze muda nao.

Amandla...
 
safi sana, uvundo umeondoka
 
Sasa ile kesi yao waliyofungua itakuwaje?😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…