Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwani wakienda Chauma tatizo liko wapi? Maalim alipoona CUF haina tija alihamia ACT-WAZALENDO. Viongozi wengine wa CDM wa sasa walitokea NCCR Mageuzi, TLP n.k. CHADEMA kwa muda sasa wamesema kuwa hawa wahitaji basi huu ndio wakati wa kufanya kweli na kuonyesha umma kuwa njia wanayofuata ni sahihi na itakijenga chama. Sasa hivi hamna kisingizio kuwa kuna watu wanawachimba. Kila la heri G55.kila leo conferences.........................nasikia wanakwenda CHAUMA. Wote na Lisu takataka walivyobehave wakati wa kampeni! Takataka tupu, na hili John linaendelea kuwa takataka kiwango cha lami!
John Mrema sio mmasai ni mchagga pyuaSijaona mmasai mwenye njaa kali kama Joan Mrema 😂
John Mrema sio mmasai.Sijaona mmasai mwenye njaa kali kama Joan Mrema 😂
Tuliwambia Tundu Lissu amekitia kiberiti Kichaka, panzi, popo, panya, nyoka na kila mnyama watakimbia tu.Kupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
View attachment 3326835
Soma pia:
Kwa hoja yao ya Leo unadhani kilikuwa ni kisingizio ama ndiyo ulikuwa ni uhalisia?Sasa hivi hamna kisingizio kuwa kuna watu wanawachimba. Kila la heri G55.
Hadi wewe 'mataga' unaihitaji Chadema ipambane kwa niaba yako?Kwa sasa sio mali ya familia ya ya Mtei na Mbowe.
Dalili kuwa uchaga na Uchagadema unaenda kuisha.
Watanzania wanaihitaji Chadema hii ili ipambane kulinda rasilimali za umma.
Dalili zaonyesha ndio maana CCM inatumia mabavu.
Idu wa Igunga.
Tunawatakia safari njema wafike salama huko waendako.Waliamini Kwa asilimia mia kuwa watashinda ule uchaguzi wa ndani ya CHADEMA na ndiyo maana wakaja na ile kauli mbiu Yao ya HAKUNA KUHAMA CHAMA!
Sasa kinyume cha matarajio yao Tundu Lissu ndiyo AKASHINDA. Leo wao ndiyo wamehama chama.
Sahihi.....na hii ndio demokrasia yenyeweKwa hoja yao ya Leo unadhani kilikuwa ni kisingizio ama ndiyo ulikuwa ni uhalisia?
CHADEMA siyo gereza, wanaotaka kutoka hawafanyi kosa lolote lile!
Naam hii hatua ni muhimuWametuchelewesha sana hawa jamaa
Wamewachelewesha kwenye nini?....au sababu hiyo ndio kambi ya Mwenyekiti mstaafu Mbowe.Wametuchelewesha sana hawa jamaa
Ukimuona Kigaila ndiyo ujue umemuona Mbowe! Hawa ni marafiki wasiotenganishika kisiasa.huyu jamaa alikuwa anatuchezea tuu..
Mchujo wa mafuta na maji ni muhimu kutokea mapema sana--- inakusaidia kujipangaWamewachelewesha kwenye nini?....au sababu hiyo ndio kambi ya Mwenyekiti mstaafu Mbowe.
Tundu Lissu anaendelea kutetemesha.Waliamini Kwa asilimia mia kuwa watashinda ule uchaguzi wa ndani ya CHADEMA na ndiyo maana wakaja na ile kauli mbiu Yao ya HAKUNA KUHAMA CHAMA!
Sasa kinyume cha matarajio yao Tundu Lissu ndiyo AKASHINDA. Leo wao ndiyo wamehama chama.
Kweli chadema ya sasa imefanikiwa kutowa uchafu kiurahisi kabisa. Uchafu wote wa Mbowe umejitowa bila hata kutumia nguvu. Mungu bariki chadema maana imekuwa mkombozi wa taifa sasa baada ya kuongozwa na dalali kwa miaka ishirini na moja. Hata ccm lazima tutawatowa madarakani kwa mwendo wa akili. Maana wao wanafikiri bundiki za polisi zitawabakiza madarakani. No Reform No Election ni mwaarubaini ya majambazi.Kupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
View attachment 3326841