PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mzee Mbowe si ni bilionea kwa nini hataki kumpa ajira huyu kiumbe ?
Mbowe ni akili kubwa sana inapokuja swala la hela na kuona manufaa ndani ya mtu.
Anajua fika huyo John Mrema nnje ya siasa ya wakati ule akiwa Chairman wa CDM, hana msaada wowote kwake, yaani ni sawa na condom.
 
Hawa wapuuzeni wanaharibu maana ya siasa, wako against na kanuni za Chama kwaufupi ni jipu hawaeleweki na Chama chochote kile
Wameshindwa kuendana na zitto wanataka kwenda kwa mzee wa ubwabwa
 
Kumbe ni wa huko? Isinge kuwa hawa viumbe wa huko leo hii ungekuta kilimanjaro ni taifa, usaliti ,kutokuwa na misimamo na njaa za kupitiliza.
Kwa hiyo Wamarangu walisaliti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…