Habari za weekend wakuu?
Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona nikajisemea tu hawa watu wako serious kweli?
1.Number nimepiga zaidi ya mara tatu hazipatikani.
2.Majibu yanayotolewa na watahiniwa ni kama vile watu wasio na shida na kazi.
3.Wengine unawapigia wanakujibu please call me later am busy right now.
4.hawapokei simu na hawakurudii hata kukuuliza ulikua na shida gani.
5.kati ya candidates 12 walio shortlisted nimehatika kuwapata 6 tu.
6.Wengine hawakumbuki hata kampuni walioomba inaitwaje wkt deadline ina siku 4 tu toka ifungwe.
Wakuu ebu tuwe serious please kwenye hili suala la ajira,how comes mtu huna records ya mahali ulipoomba ajira?
Kwa kweli imebidi nishangae tu watu tunalalamika hakuna ajira but tunapoitwa ndio hali iko hivi?