Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

Halafu nyie jamaa mnaboa sana

Pamoja na kupiga simu watumieni watu UJUMBE kwa email pia

Unaweza kumpigia mtu asipatikane sio kwasababu amezima simu, Bali mtandao pia Kuna changamoto nyingi

Tumieni watu kwa email ,
 
Kwa maisha ya sasa 600k ni ndogo kuna watu hyo 600k wanaipata wakiwa wamelala nyumban..kuna biashara nilianzisha baada ya kuacha kazi profit ya mwanzo ilikuwa 1m nikasema sitaomba tena ajira maana nina freeedom ya kufanya mambo mengine na hyo faida naipata nikiwa nimelala...
Ok sawa mkurugenzi
 
Mimi nimeshakuwa kwenye timu kadhaa za ku short list watu. Niseme zaidi ya asilimia 90 ya watu wanaoomba kazi hua wanakosa kazi kutokana na UZEMBE. Utakuta mtu vigezo vyote anavyo, ila sasa kufuata tu maelekezo ya tangazo la kazi ni mtihani!

Wengi wanakosa kazi kwa vitu kama;
1. Kutokubandika picha (passport size)
2. Kutokugonga mihuri (certify) vyeti
3. Kuto ku attach CV, birth certificate nk

Halafu wakikosa kazi wanaanza kulalamika ooh ile kazi ilikua na wenyewe

Nje ya mada.
Nyie mnaotoa matangazo ya kazi na kuomba taarifa nyingi kupita maelezo hua mnatafuta nini? Unakuta kwenye tangazo la kazi mtu anataka kwenye CV niambatanishe vyeti vya taaluma na kuzaliwa, passport size, nakala ya kitambulisho cha nida nk. Hivi vyote hua mnavitumia kufanya nini?
 
Mimi nimeshakuwa kwenye timu kadhaa za ku short list watu. Niseme zaidi ya asilimia 90 ya watu wanaoomba kazi hua wanakosa kazi kutokana na UZEMBE. Utakuta mtu vigezo vyote anavyo, ila sasa kufuata tu maelekezo ya tangazo la kazi ni mtihani!

Wengi wanakosa kazi kwa vitu kama;
1. Kutokubandika picha (passport size)
2. Kutokugonga mihuri (certify) vyeti
3. Kuto ku attach CV, birth certificate nk

Halafu wakikosa kazi wanaanza kulalamika ooh ile kazi ilikua na wenyewe
Mkuu sio kila Taasisi ina hayo maelekezo uloandika hapo........ Nshafanya kazi na Taasisi Kibao ambazo hata hawakuwahi kuona hata vyeti vyangu so kila sehemu wana utaratibu wa kupata wanafanyakazi
 
Habari za weekend wakuu?
Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona nikajisemea tu hawa watu wako serious kweli?
1.Number nimepiga zaidi ya mara tatu hazipatikani.
2.Majibu yanayotolewa na watahiniwa ni kama vile watu wasio na shida na kazi.
3.Wengine unawapigia wanakujibu please call me later am busy right now.
4.hawapokei simu na hawakurudii hata kukuuliza ulikua na shida gani.
5.kati ya candidates 12 walio shortlisted nimehatika kuwapata 6 tu.
6.Wengine hawakumbuki hata kampuni walioomba inaitwaje wkt deadline ina siku 4 tu toka ifungwe.
Wakuu ebu tuwe serious please kwenye hili suala la ajira,how comes mtu huna records ya mahali ulipoomba ajira?
Kwa kweli imebidi nishangae tu watu tunalalamika hakuna ajira but tunapoitwa ndio hali iko hivi?
Mkuu wewe kama unataka kuishi maisha yako yote umeajiriwa ni wewe.
 
Njia zuri unamtumia mtu E-mail

Simu unaweza kumpigia asipokee wala kukurudia.

Ila hakiona Email na akaamua Ku-mute hapo sawa.

Pia mtu akiomba Kazi anakuwa anasikilizia maeneo mengi sio rahisi job hunter aombe Kazi sehemu moja tu.

Hivyo uki-schedule interview date - lazima uweke at least two weeks

Wiki ya kwanza ya taarifa na wiki ya pili ya kujiandaa. Msailiwa kufika hapo.
 
Msiwatetee watu kuna some people ukiwatumia email ndio kabisaaa heri kumpigia.

NI Mimi jobless
 
Back
Top Bottom