Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

Habari za weekend wakuu?
Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona nikajisemea tu hawa watu wako serious kweli?
1.Number nimepiga zaidi ya mara tatu hazipatikani.
2.Majibu yanayotolewa na watahiniwa ni kama vile watu wasio na shida na kazi.
3.Wengine unawapigia wanakujibu please call me later am busy right now.
4.hawapokei simu na hawakurudii hata kukuuliza ulikua na shida gani.
5.kati ya candidates 12 walio shortlisted nimehatika kuwapata 6 tu.
6.Wengine hawakumbuki hata kampuni walioomba inaitwaje wkt deadline ina siku 4 tu toka ifungwe.
Wakuu ebu tuwe serious please kwenye hili suala la ajira,how comes mtu huna records ya mahali ulipoomba ajira?
Kwa kweli imebidi nishangae tu watu tunalalamika hakuna ajira but tunapoitwa ndio hali iko hivi?
Kampuni pia haipo serious, kuna options za kutuma SMS na email kwa ajili ya wale ambao watakuwa mbali na simu wakati unawatafuta.
 
Interviewer mwenyewe hujui kuandika.
20241029_165603~2.jpg
 
Matangazo ya kazi hayasemagi mshahara.
Pia elewa kibongo bongo gradute kwa mshahara huo ni mkubwa sana, mtoa mada alichokisema ni userous wa hawa vijana wetu,
Kwa kazi nyingi hasa bongo 600k ni kawaida tena kwingine hata chini ya hapo. Na nadhani ni private sector, ambazo sio zote zenye ukwasi mkubwa , wengine ni mapato ya kawaida tu, sasa wakulipe mamilioni kisa umetoka chuo? Anza na huo..kuna wati wanaishi vizuri tu na mshahara huo au kipato hicho, halafu sio rahisi kupata pia baishara ya kuingiza faida ya sh 20,000 kwa siku..so bora hata hio kazi wakati unajitafuta kuanza kazi zako
 
Hili ni tatizo la almost watanzania wote yaani hawapendi kujichosha.
Unaweza kuamini mtu amekaa kitaa miaka mitano na haijui ajira portal
 
Habari za weekend wakuu?
Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona nikajisemea tu hawa watu wako serious kweli?
1.Number nimepiga zaidi ya mara tatu hazipatikani.
2.Majibu yanayotolewa na watahiniwa ni kama vile watu wasio na shida na kazi.
3.Wengine unawapigia wanakujibu please call me later am busy right now.
4.hawapokei simu na hawakurudii hata kukuuliza ulikua na shida gani.
5.kati ya candidates 12 walio shortlisted nimehatika kuwapata 6 tu.
6.Wengine hawakumbuki hata kampuni walioomba inaitwaje wkt deadline ina siku 4 tu toka ifungwe.
Wakuu ebu tuwe serious please kwenye hili suala la ajira,how comes mtu huna records ya mahali ulipoomba ajira?
Kwa kweli imebidi nishangae tu watu tunalalamika hakuna ajira but tunapoitwa ndio hali iko hivi?
Inawezekana mmechelewa kuwapigia washapata sehemu nyingine ndiyo maana wako busy huko.
 
Nimempenda jamaa aliyesema yupo busy mpigie baadae😂😂
 
Ishu ambayo naona taasisi mmezingua ni kuwaita watu kwa short notice,walau wiki moja kabla

Na ishu ya kutumia simu sio mbaya sana kwakuwa mhusika yupo na simu karibu mda wote,kuliko email ambayo inaweza ingia kimya kimya kama hukuweka data on

Lakini mngetumia pia option ya msg,kwakuwa mtu anaweza asiwe katika network kwa mda fulani,na akipata mtandao anapata text

Haya mambo ya email huko miaka ya nyuma nilokosa interview hivi hivi,sikukumbuka kuichek time to time,siku naenda tar ya usaili ishapita

Enzi za sanduku la barua nalo hivyo hivyo nilikosa interview baada ya kutokwenda kwenye sanduku la barua kwa mda mrefu,siku naenda tar ya usaili ishapita
 
Back
Top Bottom