Email ipo official zaidi!
Kwanza... Inakupima namna ya kuwa sharp kwa kufungua, kusoma na kujibu mail kwa wakati!
Pili, mails nyingi zinaonyesha ni Nan muhusika wa ujumbe..... Tofaut na calls kama ni hr basi itasoma hr na jina la kampuni!
Tatu, Mails hata ukikaa mwezi unapata ujumbe ulio kusudiwa kukufikia kama hukuwa hewani, au changamoto ya kifaa chako au sababu nyingn mwishoni lazima upate mails
Nne, mails ni uthibitisho tosha wa jumbe za maneno, picha au docs, kama umetuma kwa email kweli lzma muhusika apate ujumbe tofaut na hapo umekosea kuandika email
Mwisho ukitumia email lazima uwe makini na kukufanya kuandika kitu kingine chochote kwa umakini, kwa sababu usipoeka umakini kwenye kuandika mails utakuta inaenda sehemu nyingne au itakupa ujumbe mails hiyo haipo