Je, hivyo vigezo au vipengele vyote vilikuwa vimeanishwa wazi kwenye tangazo?Mimi nimeshakuwa kwenye timu kadhaa za ku short list watu. Niseme zaidi ya asilimia 90 ya watu wanaoomba kazi hua wanakosa kazi kutokana na UZEMBE. Utakuta mtu vigezo vyote anavyo, ila sasa kufuata tu maelekezo ya tangazo la kazi ni mtihani!
Wengi wanakosa kazi kwa vitu kama;
1. Kutokubandika picha (passport size)
2. Kutokugonga mihuri (certify) vyeti
3. Kuto ku attach CV, birth certificate nk
Halafu wakikosa kazi wanaanza kulalamika ooh ile kazi ilikua na wenyewe
Kuna wakati watangaza ajira/nafasi za kazi wanafanya mazoea pia