Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

Halafu nyie jamaa mnaboa sana

Pamoja na kupiga simu watumieni watu UJUMBE kwa email pia

Unaweza kumpigia mtu asipatikane sio kwasababu amezima simu, Bali mtandao pia Kuna changamoto nyingi

Tumieni watu kwa email ,
 
Ok sawa mkurugenzi
 

Nje ya mada.
Nyie mnaotoa matangazo ya kazi na kuomba taarifa nyingi kupita maelezo hua mnatafuta nini? Unakuta kwenye tangazo la kazi mtu anataka kwenye CV niambatanishe vyeti vya taaluma na kuzaliwa, passport size, nakala ya kitambulisho cha nida nk. Hivi vyote hua mnavitumia kufanya nini?
 
Mkuu sio kila Taasisi ina hayo maelekezo uloandika hapo........ Nshafanya kazi na Taasisi Kibao ambazo hata hawakuwahi kuona hata vyeti vyangu so kila sehemu wana utaratibu wa kupata wanafanyakazi
 
Mkuu wewe kama unataka kuishi maisha yako yote umeajiriwa ni wewe.
 
Njia zuri unamtumia mtu E-mail

Simu unaweza kumpigia asipokee wala kukurudia.

Ila hakiona Email na akaamua Ku-mute hapo sawa.

Pia mtu akiomba Kazi anakuwa anasikilizia maeneo mengi sio rahisi job hunter aombe Kazi sehemu moja tu.

Hivyo uki-schedule interview date - lazima uweke at least two weeks

Wiki ya kwanza ya taarifa na wiki ya pili ya kujiandaa. Msailiwa kufika hapo.
 
Msiwatetee watu kuna some people ukiwatumia email ndio kabisaaa heri kumpigia.

NI Mimi jobless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…