Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

Relax boss, watu wana vimeo sana, so number mpya wanahisi ni wadai labda
 
Wewe ni HR?
 
Watu wa namna ya mleta uzi wapo wwngi sana.
Kwao jambo wafanye wao, akifanya mwingine ni uzembe, kiburi, kutokua makini, hana akili nk.

Kisa mtu kaomba ajira kwenye kampuni yao basi aweke simu on, aiangalie akisubiri apigiwe.

Hajui kua watu huwa wanatuma maombi maeneo mbalimbali, ofisi nyingi na huku wao wakiwa na mitikasi mingine mtaani.

Hija alizotoa ni dhaifu zenye majigambo ndani yake.
Nadhani kachochewa na uzi wa wa baadhi ya wanajf wakilalamikia juu ya graduates wanaoomba ajira na wanazingua.
 
Kwani ni nini maana ya kuweka no ya simu pale mkuu niconect na ajira boss.
Email ipo official zaidi!

Kwanza... Inakupima namna ya kuwa sharp kwa kufungua, kusoma na kujibu mail kwa wakati!

Pili, mails nyingi zinaonyesha ni Nan muhusika wa ujumbe..... Tofaut na calls kama ni hr basi itasoma hr na jina la kampuni!

Tatu, Mails hata ukikaa mwezi unapata ujumbe ulio kusudiwa kukufikia kama hukuwa hewani, au changamoto ya kifaa chako au sababu nyingn mwishoni lazima upate mails


Nne, mails ni uthibitisho tosha wa jumbe za maneno, picha au docs, kama umetuma kwa email kweli lzma muhusika apate ujumbe tofaut na hapo umekosea kuandika email

Mwisho ukitumia email lazima uwe makini na kukufanya kuandika kitu kingine chochote kwa umakini, kwa sababu usipoeka umakini kwenye kuandika mails utakuta inaenda sehemu nyingne au itakupa ujumbe mails hiyo haipo
 
1: Namba ukishapiga mara moja kama haipatikani, hukuwa na haja ya kupiga mara mbili zaidi. Wewe ni kisirani.

1: Unataka vijana wasubiri mjini simu za interview ili hali kila siku tunawashauri wakakodi mashamba vijijini. Umefikiria wengine wamepata shinda zilizowafanya kutopatikana, kwanini unawasimanga?

2: Mfano wa majibu...

3: Kama wamepata kazi sehemu nyingine na wapo bize kweli, unataka usiambiwe?

4: Ungewaandikia meseji, ni njia bora zaidi kuepusha sonona ya kutokupokelewa simu.

5: Wanatosha.

6: Wanaomba ofisi nyingi kama tunavyowashauri. Ulitakiwa uwaambie unapiga simu kutoka taasisi ipi, position gani hiyo simu inahusu na siku ya interview.
 
Sawa. Vipi swala la kuniconnect nipate kazi mkuu au ndio nikomae na kilimo
 
Mkuu Kam nafasi bado zipo nistue nipo free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…