Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

Je, hivyo vigezo au vipengele vyote vilikuwa vimeanishwa wazi kwenye tangazo?

Kuna wakati watangaza ajira/nafasi za kazi wanafanya mazoea pia
 
Hivi vyote ni vitu vidogo tu endapo ungekuwa na EMPATHY; uwezo wa kuvaa viatu vya watu wengine.
People going through a lot out there, usipandishe sukari kuona namba yake haipatikani. Hujui yuko wapi na anapambana na masaibu gani.
Songa na uliowapata, uliowakosa achana nao.
___
Pia, kazi yako ilikuwa kuwapigia simu wafike kwenye usaili, hebu tushikirishe hao waliokuwa wanajibu kama hawataki walijibuje na wewe ulikuwa umewaambiaje?

Kwa sababu ninyi mnaotumwa huwa mna mambo ya kiwaki. Badala ya kumweleza mtu kuwa unaitwa, unaanza kumzungusha, kumtega na kumbabaisha...
 
Kwani kwenye kutuma maombi ya kazi mnatuma na Certificates?
 
Wewe uliyepewa hiyo kazi ndio haupo serious, inatakiwa siku mbili au wiki kabisa kabla ya interview watumieni UJUMBE walio shortlisted kwa email

Njia ya simu sio ya kuiamini kabisa
Yeye na HR wake ni washamba. Kwanza wanapiga simu Jumamosi halafu usaili ni Jumatatu. Kama mtu amesafiri kwenda Bukoba na kazi iko Dar, atawezaje kufika kwenye usaili kwa wakati?
Pia, kwa nini wasitume baruapepe?
 
Mkuu sio kila Taasisi ina hayo maelekezo uloandika hapo........ Nshafanya kazi na Taasisi Kibao ambazo hata hawakuwahi kuona hata vyeti vyangu so kila sehemu wana utaratibu wa kupata wanafanyakazi
Ni uswahili tu.

Hata sijafanya interview na wewe unataka vyeti vyangu?

Kazi kama hizo hua siombi
 
HRs wanao jitambua hua wanafanya hivi, kwenye kazi ninayofanya saivi.
Mfano kuna taasisi moja nimeomba kazi muda si mrefu,wao wanahitaji only CV....... Yaani hakuna Covering letter wala nini
Ndio, Ukipita interview ukapewa job offer ndo unapeleka vyeti
 
Mkuu sio kila Taasisi ina hayo maelekezo uloandika hapo........ Nshafanya kazi na Taasisi Kibao ambazo hata hawakuwahi kuona hata vyeti vyangu so kila sehemu wana utaratibu wa kupata wanafanyakazi
Sahihi kabisa ,kampuni nyingi ni CV tu
 
Unafanya biashara gani ?
 
Nifanyie mpango Mimi basi vijana tuko wengi hatuelewi
 
Mkuu huku mtaani jua la utosi watu vichwani kuna mambo mengi Sana, Mimi juzi nimemsalimia mtu "Hodi" badala ya "shkamoo" na hapo bado sijamaliza hata iko chuo...kwaniaba yao nawaombea radhi Sana ila mzigo ambao vijana tunatembeanao kichwani sasahiv ni mzito unaochuruzikwa pilipili.
 
Umenichekesha mkuu et Hodi.Vijana tumebeba mzigo mzito kichwan hasa tuliotoka familia za pangu pakavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…