Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

Kama kweli walikuwa wanalipisha Tsh 1000 kwa tembe moja ya pandol wakafie mbele huko!Thieves!
Screenshot 2024-03-01 at 14.12.04.png

Hiyo ni screenshot ya bei za ZAMANI za NHIF - Paracetamol Kidonge TZS 20 tu za kitanzania. Usilete stori zako za mtaani kama fact. kama hujui jambo kaa kimya
 
RIP mzee Rukhsa

RIP Laigwanani Lowassa

Kufuatia Private hospitals kugoma kutoa huduma kwa Watu Wenye NHIF kimbilio pekee limebaki kwenye Government hospitals na Hospital za Kanisa

Mungu wa Mbinguni awabariki walioasisi Ushirikiano wa Serikali na Kanisa kwenye Huduma za Afya na Elimu

Jumaa Mubarak 😀
Waislam na wao wangalipewa MoU wangalikua zaidi ya hao
 
kuna dhehebu kupitia Wizara ya Afya lilikazia Prof Hulbert Kairuki kuanzisha Hospital yake kupitia TAG jitihada zote zikagonga mwamba

aliposikia hivyo Muungwana Ally Hassan Mwinyi aliingilia hadi ikasajiliwa, Timu Azimio la Arusha waliaamini kuanzisha Hospital binafsi ni ubwanyenye
 
Awali Kairuki alikuwa Luther House ni mkkkt yule

Nadhani baadae Rukhsa alikuwemo mle maana Hussein katutibu sana pale 😀
 
RIP mzee Rukhsa

RIP Laigwanani Lowassa

Kufuatia Private hospitals kugoma kutoa huduma kwa Watu Wenye NHIF kimbilio pekee limebaki kwenye Government hospitals na Hospital za Kanisa

Mungu wa Mbinguni awabariki walioasisi Ushirikiano wa Serikali na Kanisa kwenye Huduma za Afya na Elimu

Jumaa Mubarak 😀
Ungesoma kwa kituo taarifa ya umoja wa hospitali binafsi.

Nadhani umekurupuka bila nguo kutoka bafuni
 
View attachment 2920691View attachment 2920692
View attachment 2920693
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu

Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
Wajinga wakipewa kuongoza nchi ya werevu matokeo yake ndiyo haya. Mimi nadhani suala la bima kwa Tanzania na mtanzania limekuwa anasa kwani linatutesa mno. Hawa viongozi wetu wanamuongoza nani? Bora mungu ayachukue tu haya matapeli.
 
NHIF kuna nini? Na kwanini ni wao tu na si bima zingine?
 
"Kuleta Siasa kwenye maisha ya watu ni makosa" - Mpoto.

Serikali acheni siasa ,lipeni fedha kwa wakati ,mnakusanya kodi kibao mnaishia kununua maV8 ya milioni 500 nchi nzima kila mwaka mnatumia 580B ,kwanini msilipe madeni?
 
Wewe kichwa maji kweli!!Upo nchi hii kweli?Barua yao ya awali inayosema wamekaa meza moja na wameshindwa kupata mwafaka umeisoma???Tatizo lako ni UMALAYA wa KISIASA ulionao .
Hayo ndiyo mambuzi yenyeww sasa.
Full kukurupuka.
Hakuna kutumia akili japo ya kawaida tuu ya kuzaliwa nayo.
 
Back
Top Bottom