Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Ww jamaa kwa mikogo yako kwenye mada za kuongelea ndoa za watu wengine na kujifanya unawajua sana wanawake ,nikajua umeoa na una familia kumbe na ww ni muhuni tu wa kupishanisha mademu kwenye geto?

Kwanza utaruhusuje mwanamke achukue kitu ambacho umekinunua kwa ajili yako,una mruhusuje mwanamke mlio juana ndani ya miezi 3 au 4 tu achukue nguo yako una jua anaenda kuifanyia nini?

Lakini ww si kushangai maana una wahusudu wanawake kuliko hata Mungu wako.
 
Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze😁😁😁
 
Kuna sehemu nilisahau JBL headphones, zikataifishwa.

Ikabidi ninunue nyingine 🤣🤣🤣
 
Kuna sehemu nilisahau JBL headphones, zikataifishwa.

Ikabidi ninunue nyingine 🤣🤣🤣
Pole sana ndio ukubwa huo lakini ukila lazima na wewe uliwe tu jikaze kiume huo ndio uanamume uanamume sio kusukumia nyama ndani ya nyama tu
 
Jomba una uhakika wa milo mitatu kwa siku?
 
Hizo nguo anaenda kukurogea.

Hata akikurudishia usizivae, choma moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…