Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Tatizo unabeba vijizi na wewe ni kicheche
 
Mie waliojoin kuanzia 2015 kwenda nyuma huko nawaonaga watu wa maana sana kumbe huwa najidanganya🤦‍♀️🤦‍♀️
Basi mtoa mada ka(ku)piga kwenye mshono, ww itakua mmojawapo wa wanawake aina hio.

Mie walishanyakua hivi
1)Airpods. Huyu alijidai anasikilizia akajisahaulisha akaondoka nazo
2)iPhone 12 pro. Hii nililetewa na dogo mmoja nlomfanyiaga mentorship ikawa kwenye box kabisa manzi kaikuta juu la desk yangu acha aililie hadi nikampa.
3)Sasa khs vinywaji ndo usiseme, nina rafiki yangu ni MC huwa ananisukumia sana vinywaji vya gharama, pisi zinaondoka navyo halafu unakuta kimeweka insta story au status kipo na wenzake getto wanakunywa

Wanawake badilikeni aisee
 
Sio wote tuna Njaa na tamaa kama mademu zenu mkuu
,. By the way sijai enda nyumbani kwa mtu sio tu kubeba chochote wala kukanyaga nyumbani kwa Jamaa yeyote yule sijawahi
 
Sio wote tuna Njaa na tamaa kama mademu zenu mkuu
,. By the way sijai enda nyumbani kwa mtu sio tu kubeba chochote wala kukanyaga nyumbani kwa Jamaa yeyote yule sijawahi
Kwa hio huwa unagongewa kwenu au guest?

Halafu sio lazima uchukulie nyumbani kwa mwanaume, wengine hata upo nae guest tu anajimilikisha vitu vidogo vidogo. Hio Airpod ilichukuliwa tukiwa guest, asbh kajisahaulisha akaondoka nayo
 
TAtizo mnaforce tufanane wakuu,.

Anyways wamewasikia wataacha🙌
 
Nani anaforce mfanane?

Wewe umesema huwa hauendi nyumbani kwa mwanaume, ndo maana nmekuuliza huwa unagongewa wapi sasa, au vichakani?

Labda kama hujawahi kugongwa, au ni Chaputa wa kike
Dah kweli Ujinga mzigo Kwani lazima kila mtu agongwe??,. Swali langu labda niliweke hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…