Baadhi ya kina kaka/baba acheni kelele na ukorofi

Daah Bibie aisha assalaaam aleikum, waislam tunafichiana aibu Bibie! Je kulikuwa na haja gani nikuexpose mie humu jukwaani? Si tuliongea tukayamaliza? Daaah
We acha uwongo, hunijui. Na wewe uwongo kwako ni kitu cha kawaida mnoo. πŸ™πŸ™
 
Samahani kama hii yangu mimi.

Mimi papara sina nazidi sasa kuwatuliza.πŸ™πŸ™
Libido inakusumbua u may visit for psychology treatment or Mental illinesa

Pia msipende kukaa huko Ulaya mnafanya Kazi za kulea wazee mara nyingi zinaleta uchizi na Libido kubwa Sana.
 
Libido inakusumbua u may visit for psychology treatment or Mental illinesa

Pia msipende kukaa huko Ulaya mnafanya Kazi za kulea wazee mara nyingi zinaleta uchizi na Libido kubwa Sana.
Machizi nyinyi baadhi yenu mnao bweka kila siku. πŸ™πŸ™
 
Nimefunga mjadala huu, sasa tulieni. πŸ™πŸ™
Kumbe unaweza kuandika kwa ufupi! Sasa hilo gazeti lako hapo juu, linataka nini? Maana nimeshindwa kabisa kulisoma, kutokana na urefu wake.
 
Umeshapata huyo mume, au Bado unawachambua?
 
yani kwa style hiii atakayekubalj kukuoa humu jf atakuwa hayawani.

to be honest wewe ni wale wanawake ambae kila kitokeacho ndani iwe cha furaha au huzuni basi ili nafsi yako itulie lazma ukaseme nje ndo moyo wako uwe na amani.

siyo jambo la ajabu ukipata mtu humu ukimkuta na kibamia bas next day utakuja kumsema humu umekutana na kibamia nk

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mmmmmmhhhh, hicho kibamia sasa. 🫣🀣
Wacha kujitowa fahamu ukweli, mchugu.

Nimefurahi pia umejuwa kuwa wamo hayawani humu pia, kwa kweli waache kulia na kelele sasa. πŸ™„πŸ˜³
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…