Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
- #41
Hujizungumzii wewe lakini. 🙄😳Anajirace tu huyu nyege ndo zinamsumbua inatakiwa apigwe pipe za maana atulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujizungumzii wewe lakini. 🙄😳Anajirace tu huyu nyege ndo zinamsumbua inatakiwa apigwe pipe za maana atulie
We acha uwongo, hunijui. Na wewe uwongo kwako ni kitu cha kawaida mnoo. 🙏🙏Daah Bibie aisha assalaaam aleikum, waislam tunafichiana aibu Bibie! Je kulikuwa na haja gani nikuexpose mie humu jukwaani? Si tuliongea tukayamaliza? Daaah
Samahani kama hii yangu mimi.Utaelewa tu😂
Tuko hapa tunakujadeal wewe mimi nahusikaje bidadaHujizungumzii wewe lakini. 🙄😳
Ahsante dada 🙏🙏Dada.... you need psychological help
Libido inakusumbua u may visit for psychology treatment or Mental illinesaSamahani kama hii yangu mimi.
Mimi papara sina nazidi sasa kuwatuliza.🙏🙏
Nikuulize wewe. 🙏🙏Tuko hapa tunakujadeal wewe mimi nahusikaje bidada
Machizi nyinyi baadhi yenu mnao bweka kila siku. 🙏🙏Libido inakusumbua u may visit for psychology treatment or Mental illinesa
Pia msipende kukaa huko Ulaya mnafanya Kazi za kulea wazee mara nyingi zinaleta uchizi na Libido kubwa Sana.
Ataibu hawana, kazi ujuwaji tu. 🙏🙏Huyu wa Pili kutokeza kuwa wanaume mnaomba hela
Mambo ya humu, ni midomo mirefu tu ambao hawana kazi za kufanya. 🙏🙏Mambo ya humu unaweza ukazi-hundred
😂 😂
Tusilazimishane kuelewa, kichwa changu ni kichwa mpira 😂Utaelewa tu😂
Yeah, ukaweke kitu kwa kasanga tumbo..Haki ya nani vile, fanya hivyo nikabless stomach yangu kwa mama ntilie.
Kumbe unaweza kuandika kwa ufupi! Sasa hilo gazeti lako hapo juu, linataka nini? Maana nimeshindwa kabisa kulisoma, kutokana na urefu wake.Nimefunga mjadala huu, sasa tulieni. 🙏🙏
yani kwa style hiii atakayekubalj kukuoa humu jf atakuwa hayawani.Nilikaa kimpya sikujibu nilikuwa nawacha nisome maoni yenu kwanza halafu nikupeni update sasa. Na sasa nafunga huu mjadala na pia natumai mnaotaka mke sasa kama bado mmo sasa tulieni. Na mnao thani humu nimetowa pesa mimi sijampa hata shilingi nahisi ilikuwa ni kuchezeana akili.
Huyu mwamba tunamuengelea hapa nahisi hana shida lakini kaamuwa kunipima mimi kwa pesa. Au anataka nambari yangu kwa lazima baada ya kumkatalia,sasa katumia njia ya mimi kumkopesha.
Halafu alivyo kwenye level yake fulani mwenyewe kakaa kimpya anasikiliza tu, watu huku wakidata!!
Sasa nakupeni funzo sipimwi mimi kwa pesa na pimwa kwa integrity, mwanaume mwengine asirudie tena. Sithani mimi kama alikuwa anataka pesa nahisi alikuwa na papara tu la kunizalimisha mimi kutowa nambari yangu kwa lazima basipo mimi kuwa tayari.
Sisi huku hatupimani kwa pesa bali kwa mtu kuwa mkweli na muaminifu kwa sababu maisha ya huku ni 50:50 kuwa mnasaidiana majukumu. Na kama mtu hufanyi kazi serikali wanakupa pesa za kuishi.
Nasema hana shida kabisa nahisi hivi kwa sababu pesa alosema nimkopeshe ni ndogo mnoo. Ambayo mimi huku nanunulia kahawa au chai ya asubuhi tu na kama angekuwa na shida kweli angeomba zaidi.
Halafu kafanya hivi baada ya siku 2/3 kumjua hapa jukwaani ndio kabisa nahisi alikuwa ananipima mimi pesa au labda kunizalimisha kwa kila namna kutaka kuipata nambari yangu na kushindwa kuvumilia.
Nimetowa hii mada nje makusudi kuwafunza baadhi ya wanaume humu waache hii thana potofu kwamba kila mwanamke wanataka pesa zao, ambayo sio kweli na nahisi wazowee tu kwa sababu sasa wanawake tunajitegemea na hatutegemei waume.
Vile vile kama baadhi ya wanaume humu pia muna papara niwacheni kuwa mimi sitaki papara wala kelele nilisema tangu mwanzoni mimi ni mtu ninaependa amani/utulivu na furaha wakati wote.
Amefanya utumbo huu baada ya kutaka urafiki na mimi baada ya kumkatalia ndoa baada ya kudai kwamba ana vigezo vyote na kutaka nambari yangu.
Nimemkatalia ndoa hata kumpa nambari yangu kwa sababu hakutaka kusema mambo yake hapa na kila ninachomuuliza hapa jukwaani hataki kujibu lazima nimpatie nambari yangu na tuongee kwa WhatsApp.
Nilikwazika mnooo kwa kutotaka kufunguka na kuwa muwazi sasa. Wakati mimi nimesema kila ninachoulizwa hapa jukwaani kuwa niko muwazi.
Narudia tena nahisi hana shida kabisa na hapa sasa nakujuzeni kuwa, anabiashara yake na huwa anakuja huku London kila mara na hukaa huku nusu mwaka.
Kayasema haya yote baada kujuwa kwamba siwezi kuendelea na yeye asiponijibu maswala yangu hapa jukwaani, mbali ya kutomkopesha pesa aliyotaka.
Na baada ya yote yanayoendelea hapa jukwaani wala habari hana na bado anaendelea kunikera hapa jukwaani kwa kutaka sasa kunitia kwenye biashara yake huku London, kama vile mimi nilisema niko hapa kutafuta urafiki au kazi/biashara ya kufanya.
Simuelewi na nawaombeni sasa baadhi ya wanaume humu kama muna vigezo vyangu vyote, kwanza muwe watulivu, pili muwe wawazi (acheni ukorofi), tufahamiane na mimi nambari yangu nitatowa nikiwa tayari.
Mmmmmmhhhh, hicho kibamia sasa. 🫣🤣yani kwa style hiii atakayekubalj kukuoa humu jf atakuwa hayawani.
to be honest wewe ni wale wanawake ambae kila kitokeacho ndani iwe cha furaha au huzuni basi ili nafsi yako itulie lazma ukaseme nje ndo moyo wako uwe na amani.
siyo jambo la ajabu ukipata mtu humu ukimkuta na kibamia bas next day utakuja kumsema humu umekutana na kibamia nk
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Muwache tena!!!, Sas kwan mm nipo?[emoji23] ebu zungumzia ambao walkusumbua khs kukuoaSio simulizi ni funzo, muwache papara. [emoji120][emoji849]
Itafka sku ata expose had pm, ngj tusubr[emoji23]Hahahaa. Itafikia hatua hata wale waliorusha makombora ya kuhitaji ndoa wakiona uzi wa Zanzibar2014 wanatetemeka. [emoji1787][emoji1787]