A
Wacha mteseke mshatumika kipindi cha kampeni nyie ni kama condomsWanashikwa kwa nguvu na (WAGAMBO) wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING.
Baada ya kukamata bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie LAKI TANO (Tsh 500,000).
Tumeenda kulalamika sana baadhi ya Ofisi za Viongozi bila mafanikio; hatuna njia nyingine ya msaada zaidi ya hapa JamiiForums.
Tunaomba waeshimiwa wakuu wenye Mamlaka husika kutusaidia kufatilia kwa ukaribu.
Adhabu (faini) ni kubwa sana.
SEma ukweli penye kusema ukweli, huu umbuΓ3 wa kutugawa ndo unafanya tunaendelea kutawaliwa na haya mafisadi.Bajaji na Bodaboda ni moja ya matatizo ndani ya nchi hii.Fuateni Sheria za Barabarani.
Nimeishia hapa kusomaMbwa hawa waliimba mama anaupiga mwingi, sasa hivi mtajijua
Duuh waoneeni huruma vijana wana familia haoWacha mteseke mshatumika kipindi cha kampeni nyie ni kama condoms
Ndio maana wanawaburuza kwa kuwapora bajaj zao na kuwaambiwa wawalipe 500,000/- hahahaSONGEA NA MBINGA MNAWAPENDA CCM TOKENI HUKO KWENYE USINGIZI
Yaani ni kero wanajiona wako juu ya sheria.Bajaji na Bodaboda ni moja ya matatizo ndani ya nchi hii.Fuateni Sheria za Barabarani.
Mnapark popote hafu mchekewe.Wanashikwa kwa nguvu na (WAGAMBO) wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING.
Baada ya kukamata bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie LAKI TANO (Tsh 500,000).
Tumeenda kulalamika sana baadhi ya Ofisi za Viongozi bila mafanikio; hatuna njia nyingine ya msaada zaidi ya hapa JamiiForums.
Tunaomba waeshimiwa wakuu wenye Mamlaka husika kutusaidia kufatilia kwa ukaribu.
Adhabu (faini) ni kubwa sana.
ππππMbwa hawa waliimba mama anaupiga mwingi, sasa hivi mtajijua
ππππSONGEA NA MBINGA MNAWAPENDA CCM TOKENI HUKO KWENYE USINGIZI