cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hii lami sijui ni kwanini huwa inadaka vumbi kuliko barabara ya Tope. LolHakuna watu wanaoipenda ccm huku kusini View attachment 3547079 kama watu wa songea
Hii lami sijui ni kwanini huwa inadaka vumbi kuliko barabara ya Tope. LolHakuna watu wanaoipenda ccm huku kusini View attachment 3547079 kama watu wa songea
Nchi hii imezidi ujinga na upumbavu barabara za waenda Kwa miguu zimekuwa maeneo ya masoko ya Machinga,vituo vya badoboda na bajaji.Na, Viongozi wanawaona tu.Yaani ni kero wanajiona wako juu ya sheria.
Watoa ushahidi kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu.....Wanashikwa kwa nguvu na (WAGAMBO) wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING.
Baada ya kukamata bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie LAKI TANO (Tsh 500,000).
Tumeenda kulalamika sana baadhi ya Ofisi za Viongozi bila mafanikio; hatuna njia nyingine ya msaada zaidi ya hapa JamiiForums.
Tunaomba waeshimiwa wakuu wenye Mamlaka husika kutusaidia kufatilia kwa ukaribu.
Adhabu (faini) ni kubwa sana.