KERO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa ya Songea Mjini wanaonea Vijana wanaondesha Bajaji, wanawatoza faini Sh. Laki 5

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Vp Samia haupigi mwingi kwenye bajaji?

Nyakat za kampen huwa mnajitoa ufahamu eti mnamchangia pesa ya fomu mwanasiasa

Sasa changishanen tena mgomboe bajaji mbona kwa wanasiasa mnaweza kichangishana
 
Yaani ni kero wanajiona wako juu ya sheria.
Nchi hii imezidi ujinga na upumbavu barabara za waenda Kwa miguu zimekuwa maeneo ya masoko ya Machinga,vituo vya badoboda na bajaji.Na, Viongozi wanawaona tu.

Manispaa ya Songea kamatia hapo hapo na tena faini iwe 1,000,000/= ili hawa wapumbavu wajue kufuata Sheria haswa.
 
bado hamjapigwa vizur,...mpaka uchawa uwatoke
 
Watoa ushahidi kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…