Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Nini maana ya jina LUHAGA
Ni kuzuia kitu kisiangukie upande ule kiliouelemea, kwa kutumia nyenzo nyingine. Kwa mfano kuweka kitu kwenye sehemu ya ukuta unaoelekea kuanguka ili kitu hicho kiuzuie ukuta huo usianguke. Kufanya kivyo ni KUHAGA, na nayefanya kitendo cha KUHAGA ndiyo anaitwa LUHAGA
Saguda47
 
Tofauti na luhaja
 
Wewe leta inaonekana unajua maana ya hayo majina sisi wengine ma observer tu🤣🤣🤣
 
Mashauli sio jina kusukuma kuna majina ambayo yaméingizwa Kama
Mashauli (mashauli)
Bunzali(binzali)
Maduka(duka)
Madilísha(dirisha)
Ngeleja(muingeleza)
Ndaki(darch-mjerumani)
Kabalaja(baraza/)
Shitungulu(kitunguu)
Manyanya(nyanya)nk
Majina haya yameingia baada ya ujio wa wageni Toka ng'ambo waarabu wahindi na wazungu
 
Luhaga maana yake kibano/kibanio/kubana
Naomba maana ya
  1. Ifogong'o
  2. Bhalengi
  3. Letungu/Litungu
  4. Nkwengwa
  5. Baba mkwe/mama mkwe(nipe kwa kisukuma)
Pia "mto/river" unaitwaje nimesahau.
Samahani mto/river ni "mongo" au nimekosea?
 
Naomba maana ya
  1. Ifogong'o
  2. Bhalengi
  3. Letungu/Litungu
  4. Nkwengwa
  5. Baba mkwe/mama mkwe(nipe kwa kisukuma)
Pia "mto/river" unaitwaje nimesahau.
Samahani mto/river ni "mongo" au nimekosea?
Ifogong'ho--chama Cha kuweka na kukopa vicoba
Bhalingi -- manju watunzi wa nyimbo
3 letungu litungu hicho ni kikuilya no ngoma Yao
wasukuma wana litongo / hitongo ni sehemu ya shamba hasa ambapo palikua makazi na palikua pia na mifugo
4 kwengwa/nkwingwa --baba mkwe
5 baba mkwe -nkwingwa
Mama mkwe ---mayu buko/mayu bukwi
Sawa mto -- mongo
 
OK,nashukuru naona kama hii thread ingekuwa siyo ya majina bali ya kujifunza,nitachukua madini yatakayokuwa hapa kwa ajiri ya matumizi binafsi.
Litongo ulivyoelezea sehemu ambapo panakuwa na mifugo inatofauitiana nini na "Lugoto" a.k.a zizi?
 
HANGAY
HANGAYA

HANGAYA..... NYOTA ING'AAYO
 
OK,nashukuru naona kama hii thread ingekuwa siyo ya majina bali ya kujifunza,nitachukua madini yatakayokuwa hapa kwa ajiri ya matumizi binafsi.
Litongo ulivyoelezea sehemu ambapo panakuwa na mifugo inatofauitiana nini na "Lugoto" a.k.a zizi?
Itongo ni sehemu walipokua wakiishi wao na mifugo Yao huwa sehemu nzuli yenye rutuba kwa kuwa na mboji na samadi
Lugutu ni zizi la mifugo kiswahili uzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…