Hivyo ni vitu viwili tofauti masta,Insulation tape (mtaani hasa wanaiita Vini Tape)Siyo solution tape mkuu, inaitwa Seal Tape
🤣🤣🤣🤣Asikirimu - Ice cream
Hata hao wazungu wametuharibia maneno yetu ya kiswahili ujue!Solu tape = solution tape
Rubber band = bala bendi
Ambles = ambulance
Ongezea Mengine unayo ya jua...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Fiti kali kiti = Physically fit.
iyo ya kufungia mwaka 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha tu Mwandambo niendelee kuchoka.
Ahahahaha kaka kaka upo upo ndgu yanguKule Mbeya kwa kina Poor Brain wanaita farampeni
We isac hv dodoma ulishahama au upo tarimeKikubwa wanaelewana😄 cc Poor Brain
Vest tukaziita kaoshi…
( sababu vijana wengi wanapiga mishe carwash walikua wanavaa mda mwingi)
Hili sasa limesha toholewa kabisaRoll call - rokoo
Ulikuwa wapi kwanza tangu ijumaa tunakutafuta humWe isac hv dodoma ulishahama au upo tarime
Mkuu nipp nipp sema ukiona kimya jua nipo na antiel huku hom mana wapo likiz hv mda mwingi nipo naeUlikuwa wapi kwanza tangu ijumaa tunakutafuta hum
Antiel? Ndio nanMkuu nipp nipp sema ukiona kimya jua nipo na antiel huku hom mana wapo likiz hv mda mwingi nipo nae