Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

00001

Senior Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
173
Reaction score
948
Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana.

Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao.

Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili kuungana na makafiri weusi wa bara kwa kisingizio cha ni waafrica wenzetu". Kupitia comment kama hii unajifunza haya:
1. Wazanzibar wanaamini ndugu zao ni wale Arabs waliowatawala kipindi kile cha ukoloni.
2. Wazanzibar hawaamini kama sisi wa bara ni ndugu zao.

Kuna maoni ya mzanzibar mmoja, huyu yeye anamuomba Allah amuue kiongozi alietoa wazo la kujengwa daraja.

Haya hapa baadhi ya maoni ya wenzetu wa visiwani
Screenshot_20230503-200205.jpg
Screenshot_20230503-200121.jpg
Screenshot_20230503-200050.jpg
Screenshot_20230503-200022.jpg
 
Kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna.

Bahati mbaya sana watanganyika mnaona Tanganyika yenu kama Choo fulani hivi cha stendi ambapo nyinyi watanganyika ni wasafiri tu unaoingia kujisaidia na kusepa!

Watanganyika acheni kulalamika na kujipendekeza ovyo, nanyi kuweni na wivu na nchi yenu, hakuna mzanzibar anawataka watanganyika kwenda Zanzibar ili kufaidika na chochote.
 
Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana.

Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao.
Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua...
Usiume ume maneno. Hata wa Zanzibar weusi wanawabagua sana wa Zanzibar chotara. Ndio maana kila siku utasikia asili ya wa Zanzibar ni bara. Sawa. Hata hao chotara wa kiarabu wa Zanzibar pia. Ubaguzi uko pande zote tu.
 
Back
Top Bottom