Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Sisi wenyewe hatuutaki huo muungano hata kuusikia hauna faida yyte kwetu bara ila serikali yako ya ccm ndiyo inayo unga'nga'nia Kwa masrahi yake binafsi;Kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna. Bahati mbaya sana watanganyika mnaona Tanganyika yenu kama Choo fulani hivi cha stendi ambapo nyinyi watanganyika ni wasafiri tu unaoingia kujisaidia na kusepa!
Watanganyika acheni kulalamika na kujipendekeza ovyo, nanyi kuweni na wivu na nchi yenu, hakuna mzanzibar anawataka watanganyika kwenda Zanzibar ili kufaidika na chochote.