Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Pemba ipo karibu zaidi na bara mkuu,to be exact Tanga.Infact kama ni daraja likijengwa from Tanga litakuwa cheaper.
Wao wanataka kutokea Jiji la Biashara Dsm sio Tanga huko kuna hata uwanja wa ndege wa kimataifa km ile terminal 3 pale Kipawa ?
 
Aisee,yeah I can see.Nadhani sio tu kwamba Wazanzibar hawatupendi,but they are inherently evil.Comments zao zinaonyesha hili vividly.Nadhani Uislamu unachangia.

Anyway,kama wanatuchukia kiasi hichooo,kwa nini wamejaa bara?Anyway tuwasamehe bure,sio wao.
Kila kona ya Zanzibar kuna wabara wanauza dawa za panya sumu za mende na wengine wamejazana kule mashamba wanalima viazi vitamu ndio maana tanganyika hawataki kuvunja muungano kwa sababu wananeemeka sana kupitia visiwa vya zanzibar

Wananchi wa zanzibar wanalipa kodi mara mbili ZRA na TRA hizi za TRA zinaenda Tanganyika kulipa mishahara yao na chakula chao, sio rahisi bara kuiachia Zanzibar
 
Wazanzibar wengi wanaamini muungano huu walilazimishwa tu (halikuwa takwa lao, nguvu ilitumika na inatumika mpaka leo hii kuwaunganisha na bara) nadharia hiyo inawafanya wazanzibar wengi kuamini kuwa kuna namna Tanganyika inavuna na kupiga kupitia muungano.

Embu nawe jiulize, kama muungano huu hauna makubwa kwa Tanganyika, ni kwanini Tanganyika inaung'ang'ania mnoo kuliko vile Zanzibar inavyoutaka?
Siyo Watanganyika wanaong'ang'ania muungana, bali ni ccm ambao ndo wenye maslahi binafsi na huo mchongo🙄
 
Zanzibar ingekuwa peke yake ingefika mbali sana viwango vya Mauritius
Kwa kutokana na idadi kubwa ya mimbula mingi ya Tanganyika, inakuwa inarudisha maendeleo yao nyuma, na wasikubali hilo daraja, hali faida yoyote kwao. zaidi ya kutaka kuleta NGO zao za mashoga zinazofadhiliwa na Vatikani
 
Wanaonekana wabara wakishuka boti pale zanzibar wamevaa herini inasikitisha sn
Unajitekenya na kucheka mwenyewe uzuri ni Kwamba ukweli mnaujua kuwa Zanzibar ndiyo pepo ya mashoga
 
Wanaona Kama tunawatawala .halafu inavyoonekana kwao ni bola watawaliwe na waarabu kuliko kuwa huru Kama walivyo leo ,Hawa watu elimu bado
 
Zanzibar ingekuwa peke yake ingefika mbali sana viwango vya Mauritius
Kwa kutokana na idadi kubwa ya mimbula mingi ya Tanganyika, inakuwa inarudisha maendeleo yao nyuma, na wasikubali hilo daraja, hali faida yoyote kwao. zaidi ya kutaka kuleta NGO zao za mashoga zinazofadhiliwa na Vatikani
Pemba ndo inayoongoza Kwa ushoga
 
Wazanzibar kwa mtizamo wangu ni WA kuwapuuza maana kwa kawaida hawana jema
 
Kama nilivyosema muungano Una masrahi na ccm wawe wa bara au Zanzibar; Sisi watanganyika hatuutaki muungano
Likija suala la muungano ni wabara tu hawataki kuvunja, kule zanzibar wanaokataa ni walio kwenye mfumo tu
 
Aisee,yeah I can see.Nadhani sio tu kwamba Wazanzibar hawatupendi,but they are inherently evil.Comments zao zinaonyesha hili vividly.Nadhani Uislamu unachangia.

Anyway,kama wanatuchukia kiasi hichooo,kwa nini wamejaa bara?Anyway tuwasamehe bure,sio wao.
Kuna kitu hukijui kuhusu Zanzibar na wazanzibar, njoo Zanzibar uwasikie wenyewe ndio utailewa.

Chuki ni mbegu iliyopandikizwa na sio kitu rahisi kufutika vichwani mwa wazanzibar mpaka siku huu muungano utakapovunjika au kubadilika muundo wake.

Kwa kifupi sana, wazanzibar wengi wanaamini haya:
1. Muungano huu ni utumwa dhidi yao (kwanini? Muungano huu ulitengenezwa kwa ujanja ujanja, haraka haraka, kisirisiri na Zanzibar iliingizwa kinguvu, ndio uliwanyang'a uhuru wao wa kujitawala na kujiamulia mambo yao)

2. Muungano huu ulitengenezwa na kuundwa na watanganyika kwa maslahi ya watanganyika (Kwanini? Watanganyika (kupitia watawala wake) wao ndio wanautaka sana na kuupigania huu muungano kwa hali, mali na damu)

3. Muungano huu ndio umeua diplomasia, utamaduni, imani, bandari, biashara, kilimo na utalii wa Zanzibar. (Kwanini? Nchi zote zenye muundo wa jografia kama Zanzibar (kama Dubai, Singapore) ambazo zilikuwa sawa sawa na Zanzibar kwenye maeneo hayo miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 1960s zote zimepiga hatua kubwa mnoo kwenye hayo maeneo, na hapo hapo Zanzibar imekuwa duni zaidi, na sababu kuu ikielezwa ni huu muungano)
 
Back
Top Bottom