Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna. Bahati mbaya sana watanganyika mnaona Tanganyika yenu kama Choo fulani hivi cha stendi ambapo nyinyi watanganyika ni wasafiri tu unaoingia kujisaidia na kusepa!
Watanganyika acheni kulalamika na kujipendekeza ovyo, nanyi kuweni na wivu na nchi yenu, hakuna mzanzibar anawataka watanganyika kwenda Zanzibar ili kufaidika na chochote.
Asili ya Mzanzibar wa sasa ni wapi?
Kwa baadhi ya Wazanzibar wa sasa kuitukana au kutukana watu wa Bara ni kama mtu anayetukana asili yake tu...
Kubadilishwa majina yenu na Waarabu haiondoi asili yenu...
Ni ajabu Mzanzibar anaona ndugu zake ni Waarab walio maili nyingi huko, huku wanawakana ndugu zao wa Bara walio umbali mfupi tu hapo...