Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Kivipi?
Ufafanuzi tafadhali
Mengine sio busara sana kusema hapa. Unganisha codes utaelewa hilo la kusema bila Zanzibar huenda Tanganyika isisogee.

Anza kujiuliza haya, kwanini kila mtawala wa juu wa Tanganyika huwa anasema na kuapa kuwa, atahakikisha anaulinda huu muungano kama moyo wake, kwa hali, mali na damu hatakubali uvunjike.
 
Idadi ya 2000 kila mkoa ni kiasi cha kujitathmini hata wewe nyumban kwenu
Mkoa nao ishi unaidadi ya watu milion 6, piga hesabu mwenyewe; arafu angalia na idadi ya watu Zanzibar million moja na laki nane ila wanaojihusisha na vitendo vya ushoga ni 121500, Zanzibar sio nchi ni Choo cha shetani wazanzibar mnalaana
 
Weka takwimu ?
Kwa idadi na uhamasishaji wa NGO , Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Mwanza Mbeya zina mashoga wengi, au kuwa na idadi kubwa yha mashoga na malaya wote wanaoishi Dar Es Salaam kutokea kwenye hiyo mikoa
Nitajie NGO tafadhali
 
Weka takwimu ?
Kwa idadi na uhamasishaji wa NGO , Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Mwanza Mbeya zina mashoga wengi, au kuwa na idadi kubwa yha mashoga na malaya wote wanaoishi Dar Es Salaam kutokea kwenye hiyo mikoa
Mkuu hapa Zanzibar kuna mashoga mpaka wamasai kutoka bara.
Ni vigumu mnoo kuutenganisha ushoga na mazingira ya Zanzibar ya sasa kwa sababu kuu mbili, moja tamaduni za kishenzi za siku nyingi za Zanzibar (muarabu ni mshenzi kabisa) na sekta ya utalii (mzungu ni mpumbavu kabisa)
 
Itakua wanahitaji uhuru zaidi, wanahisi kutawaliwa na kufanyiwa maamuzi bara inayotaka.

Tukirejea uchaguzi wa 2015 unaona ulikua free and fair? Walioata kiongozi wanaomhitaji? Je huoni mambo madogo kama hayo yanapelekea pia chuki dhidi yetu?
Hapo nimekuelewa sana
Naona hapo umefunguka
Kweli kama wanataka kujitenga labda wasubiri ule Ufa utakaoigawa Africa baada ya miaka kadhaa ( sitanii) kuna mpasuko mkubwa sana

Lakini zaidi ya hapo muungano unachungwa sana na hawawezi kukubali wajitenge

Ni maamuzi yanayowezekana ila Bara sisi ni waoga sana kwa maamuzi maana hata dual citizenship tu inatushinda itakuwa kuachana kwa talaka?
 
Wacha watukane matusi yote muungano hauvunjiki ng'o na kipindi Cha uchaguzi tutawapelekea wajeda wajae Kila corner.
Muungano udumu milele

kama ni hivo munalalamika nini? Endeleeni tu kupokea matusi huku munafuraha
 
Likija suala la muungano ni wabara tu hawataki kuvunja, kule zanzibar wanaokataa ni walio kwenye mfumo tu
Ndivyo mnavyodanganyana kwenye vijiwe vyenu vya kawaha; Hakuna mtu wa bara anaeutaka muungano
 
Lack of exposure inawatesa wengi ila huu muungano umewanufaisha wazenji Kwa mambo mengi kuanzia kazi, na mambo mengi hyo kusema inanyonywa si kweli Zanzibar ni ndogo Ina Rais wao ila maendeleo yako nyuma hata barabara low quality hapo watasingizia Tanganyika Kwa lipi. Kuanzia hata hotel na kuchangamkia fursa kuko nyuma so hapo wasilaumu watu.
Huku bara wazanzibar waliowekeza na kujenga huwezi washawishi warudi huko zenji wamepatia maisha huku na sio wabaguzi ka hao ambao hawajatembea

inahitajika utulivu wa akili na si mihemko ili kufahamu kuwa zanzibari ndio inayonyonwa kwenye huu muungano
 
Kuna kitu hukijui kuhusu Zanzibar na wazanzibar, njoo Zanzibar uwasikie wenyewe ndio utailewa.

Chuki ni mbegu iliyopandikizwa na sio kitu rahisi kufutika vichwani mwa wazanzibar mpaka siku huu muungano utakapovunjika au kubadilika muundo wake.

Kwa kifupi sana, wazanzibar wengi wanaamini haya:
1. Muungano huu ni utumwa dhidi yao (kwanini? Muungano huu ulitengenezwa kwa ujanja ujanja, haraka haraka, kisirisiri na Zanzibar iliingizwa kinguvu, ndio uliwanyang'a uhuru wao wa kujitawala na kujiamulia mambo yao)

2. Muungano huu ulitengenezwa na kuundwa na watanganyika kwa maslahi ya watanganyika (Kwanini? Watanganyika (kupitia watawala wake) wao ndio wanautaka sana na kuupigania huu muungano kwa hali, mali na damu)

3. Muungano huu ndio umeua diplomasia, utamaduni, imani, bandari, biashara, kilimo na utalii wa Zanzibar. (Kwanini? Nchi zote zenye muundo wa jografia kama Zanzibar (kama Dubai, Singapore) ambazo zilikuwa sawa sawa na Zanzibar kwenye maeneo hayo miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 1960s zote zimepiga hatua kubwa mnoo kwenye hayo maeneo, na hapo hapo Zanzibar imekuwa duni zaidi, na sababu kuu ikielezwa ni huu muungano)
Mbona hauelezei comoro ambayo ipo karibu na wewe una sema singapore na dubai

Bila Tanganyika mtakuwa kama comoro na visiwa vingine vinavyo jitawala. Hapo comoro tu hatuja ungana nao lakini Tanganyika ndo inalisha huko kila kitu, kwanini wasiwe kama dubai
Hao watu wahuko mnalingana kila kitu acheni ujinga kuweni na shukurna na bara ambayo inawalisha kila kitu
 
Sasa kama mkoa mzima wa Zanzibar hata division One hukosa hadi wapewe na serikali wategemea nini?
Hawataki hata ilimu dunia Kila kitu tu wasaidiwe, Yani shule kimatokeo za mwisho
 
Back
Top Bottom