antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hahaha..inahitajika utulivu wa akili na si mihemko ili kufahamu kuwa zanzibari ndio inayonyonwa kwenye huu muungano
Mkuu Zanzibar ina kitu gani cha kunyonywa?!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha..inahitajika utulivu wa akili na si mihemko ili kufahamu kuwa zanzibari ndio inayonyonwa kwenye huu muungano
Wanahisi kukandamizwa na kufanyiwa ukatili, na hayo yanajihidhihirisha haswa kwenye matukio ya kisiasa n.k, pia kuminywa katika uhuru wa maoni n.k, hivyo mindset yao imebaki kujua kwamba bara inataka kuwamaliza/kuwaangamiza ama kuwapoteza kabisa kwa nguvu na kujimilikisha.Hapo nimekuelewa sana
Naona hapo umefunguka
Kweli kama wanataka kujitenga labda wasubiri ule Ufa utakaoigawa Africa baada ya miaka kadhaa ( sitanii) kuna mpasuko mkubwa sana
Lakini zaidi ya hapo muungano unachungwa sana na hawawezi kukubali wajitenge
Ni maamuzi yanayowezekana ila Bara sisi ni waoga sana kwa maamuzi maana hata dual citizenship tu inatushinda itakuwa kuachana kwa talaka?
Unaishi dunia gani mkuu?
Sasa jiulize Tanganyika inapata nini kwenye huu muungano?Inayonyonywa huku inatumia umeme uliotoka Tanganyika na Wana madeni mengi wamesamehewa na wanategemea vingi kutoka bara. Ingetakiwa mshukuru Tanganyika mumepata pakupumulia na hako ka visiwa vidogo kiasi mmoja akijamba aliye mwisho wa kisiwa anaskia. Na hivi mnazaa na kuwekeza kuoa mitala hyo population mngeiweka wapi?
Wacheni kulalamika shukuruni Tanganyika nyie
Ndivyo mnavyodanganyana kwenye vijiwe vyenu vya kawaha; Hakuna mtu wa bara anaeutaka muungano
Kwa iyo haya ndio miarabu koko?... bibi zao walibakwa wakazaliwa waarabu koko halafu wanajisifia ujinga.
NGO zote zinazojishughulisha na haki za kibidamu na usawa wa jinsia kwa kupitia mgongo wa mama na watoto,Nitajie NGO tafadhali
Mbona hauelezei comoro ambayo ipo karibu na wewe una sema singapore na dubai
Bila Tanganyika mtakuwa kama comoro na visiwa vingine vinavyo jitawala. Hapo comoro tu hatuja ungana nao lakini Tanganyika ndo inalisha huko kila kitu, kwanini wasiwe kama dubai
Hao watu wahuko mnalingana kila kitu acheni ujinga kuweni na shukurna na bara ambayo inawalisha kila kitu
Hao watakuwa wa Zanzibar wenzioSOma coment za wenzio humu wanaojitapa kama muungano hautovunjika.
Kwani Zanzibar hazipo?NGO zote zinazojishughulisha na haki za kibidamu na usawa wa jinsia kwa kupitia mgongo wa mama na watoto,
Strategic area for security purpose
Inayonyonywa huku inatumia umeme uliotoka Tanganyika na Wana madeni mengi wamesamehewa na wanategemea vingi kutoka bara. Ingetakiwa mshukuru Tanganyika mumepata pakupumulia na hako ka visiwa vidogo kiasi mmoja akijamba aliye mwisho wa kisiwa anaskia. Na hivi mnazaa na kuwekeza kuoa mitala hyo population mngeiweka wapi?
Wacheni kulalamika shukuruni Tanganyika nyie
Kama Scotland vileIitishwe kura ya kuukubali au kuukataa muungano
Sio kama utitiri ambazo hata Jiwe aliushtukia na kuanza kuwabanaKwani Zanzibar hazipo?
Stry za madrasa Hizo,DSM na Arusha ndio zinaongoza kwa Ushoga hapa nchini
I hope so [emoji120]Aisee...
Kama ule muungano wa kibabe wa USSR (yenye nukes, nk) ulisambaratika kama barafu juani itakuwa huu wa hila?!!! Siku yake itawadia tu