Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna. Bahati mbaya sana watanganyika mnaona Tanganyika yenu kama Choo fulani hivi cha stendi ambapo nyinyi watanganyika ni wasafiri tu unaoingia kujisaidia na kusepa!

Watanganyika acheni kulalamika na kujipendekeza ovyo, nanyi kuweni na wivu na nchi yenu, hakuna mzanzibar anawataka watanganyika kwenda Zanzibar ili kufaidika na chochote.
Huu muungano utakufa na siku ukifa nyie wala urojo mliojaa huku Tanganyika tutakachowafanya ni Mungu tu ndiye anajua,tunawachukia sana nyie makinikia ya waarabu.
 
Idadi ya 2000 kila mkoa ni kiasi cha kujitathmini hata wewe nyumban kwenu
Mkoa wa Mbeya tuko 3.8M huko, wapatikane mashoga 2000 huoni hio ni ratio ndogo sana.

Ni SAWA na mtaa mmoja wa Nsalaga pale hadi Uyole
 
Kiusalama kivipi, bado unaleta ngonjera za ujamaa wa wa mika ya 60
Mnahofia usalama kutoka wapi? na kuna nini cha maana mpaka mtishiwe usalama?
Strategic area for security purpose na sio ngojera za ujamaa na 1960s hata sikuwepo duniani
 
Wazanzibar wengi (hususani wafadhihina au wale waliokosa exposure) wanaamini muungano huu umeleta madhila haya......
1. Kumomonyoka kwa maadili ya mzanzibar na kufutika kwa tamaduni za mzanzibar (kama dini, mavazi, vyakula, lugha, tabia)
2. Kuwepo kwa vilabu vya pombe (bar), kumbi za starehe.
3. Biashara ya kitimoto, umalaya
4. Kujengwa kwa makanisa na kuenea kwa ukristo.
5. Kudorora kwa bandari ya Zanzibar.
6. Kudorora kwa biashara
7. Kuongezeka kwa watanganyika (kuna speed ya ajabu kwa watanganyika kuja Zabzibar, na wakija wanaishi kabisa! Wataoa, kuolewa, kuzaa na wazanzibar).

Kwa mlengo huo wanaona muungano huu ni kama laana fulani kwao.
 
inahitajika utulivu wa akili na si mihemko ili kufahamu kuwa zanzibari ndio inayonyonwa kwenye huu muungano
Inayonyonywa huku inatumia umeme uliotoka Tanganyika na Wana madeni mengi wamesamehewa na wanategemea vingi kutoka bara. Ingetakiwa mshukuru Tanganyika mumepata pakupumulia na hako ka visiwa vidogo kiasi mmoja akijamba aliye mwisho wa kisiwa anaskia. Na hivi mnazaa na kuwekeza kuoa mitala hyo population mngeiweka wapi?
Wacheni kulalamika shukuruni Tanganyika nyie
 
Iitishwe kura ya kuukubali au kuukataa muungano
Kama kura hiyo ikiitishwa hata kesho, ninakwambia kabla ya saa tatu asubuhi, wazanzibar watakuwa mamemaliza mchezo wote, zaidi ya 80% watakuwa mamepiga kura huu muungano ufe kesho hiyo hiyo.
 
Mkuu hapa Zanzibar kuna mashoga mpaka wamasai kutoka bara.
Ni vigumu mnoo kuutenganisha ushoga na mazingira ya Zanzibar ya sasa kwa sababu kuu mbili, moja tamaduni za kishenzi za siku nyingi za Zanzibar (muarabu ni mshenzi kabisa) na sekta ya utalii (mzungu ni mpumbavu kabisa)

Mnagongana nyinyi munamsingizia Muarabu? Pumbav kabisa
 
Wazanzibar wengi (hususani wafadhihina au wale waliokosa exposure) wanaamini muungano huu umeleta madhila haya......
1. Kumomonyoka kwa maadili ya mzanzibar na kufutika kwa tamaduni za mzanzibar (kama dini, mavazi, vyakula, lugha, tabia)
2. Kuwepo kwa vilabu vya pombe (bar), kumbi za starehe.
3. Biashara ya kitimoto, umalaya
4. Kujengwa kwa makanisa na kuenea kwa ukristo.
5. Kudorora kwa bandari ya Zanzibar.
6. Kudorora kwa biashara
7. Kuongezeka kwa watanganyika (kuna speed ya ajabu kwa watanganyika kuja Zabzibar, na wakija wanaishi kabisa! Wataoa, kuolewa, kuzaa na wazanzibar).

Kwa mlengo huo wanaona muungano huu ni kama laana fulani kwao.
Kwani mkuu kuna shida tukioa binti wa kizanzibar???

Daaah ila watu wa huko wanashida sana, mbona vyuoni tulikuwa tunaishi nao vyema hadi misikitini tunawapa waongoze ibada ila sie kuja kwenu mnaona kama nongwa
 
Mimi ningependa kujifunza jambo kidogo ili niweze kujadili kidogo, UNGUJA, PEMBA na ZANZIBAR, tofauti yake ni nini?
Unguja ni kisiwa,pemba ni kisiwa na zanzibar ni muungano wa hivyo visiwa pemba na unguja
 
Back
Top Bottom