Baadhi ya maswali TPA

Naona upo field mzee [emoji3]

Upo sahihi, point yangu ni kuwa mtihani haukua kipimo sahihi kwa watu wa courses zote.

Na upo sahihi pia mtu wa Transport and Logistics management angeweza kupata tabu na huo mtihani.

Mtu wa Procurement angeweza kujipapatua kidogo, kwani wanasoma pia Inventory Management & Warehousing

Lakini si kwa mtu makini wa Shipping,

Documents hitajika ili utoe gari au mzigo wanasoma kwenye customs procedures.

Stowage plans wanasoma kwenye inventory management & warehousing.

Clearing and forwarding ni module wanasoma, Demurrage etc etc etc

Watu wa Hr, Statistics, etc etc stood no chance.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walitengwa kiani akufukuzae hakwambii toka 🀣🀣🀣jamaa kapost ni bora niendelee kupost biashara za udalali wa simu kuliko kwenda Dodoma kufany interview
 
Nimesomea manunuzi. Ila maswali yote haya najibu. Kuna nyuzi wanalalamika maswali yalikuwa magumu. Yaani haya ndio magumu?
Tema mate chini boss.

Wewe wa Procurement & Supply kusema kuwa ungejibu hiyo paper yote bila tabu ni kutudanganya tu [emoji3]

Ungejipapatua kiasi hapo kwenye stowage plans, order and delivery & storage operations kwa sababu ni vitu mnasoma.

Anyway watu wanalalamika sababu hakukua na usawa, hebu niambie mtu wa Human Resources Management au Statistics alikua anajibu nini hapo?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
You don’t deserve kuajiriwa

Sharing these kinds of info require approvals
 
D
Daaah! Hapo pagumu wajomba......
 
mtu yeyote ambaye amefanya kazi kwenye clearing and forwarding company kwa umakini na amecheza na documents kwa muda mrefu hio paper ananyoosha mazima. Hasa wanaodili na mizigo ya local na transit yani ni kitonga sana hio paper watakuwa ndio watu pekee wanachekelea ushindi humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…