Naona upo field mzee [emoji3]
Upo sahihi, point yangu ni kuwa mtihani haukua kipimo sahihi kwa watu wa courses zote.
Na upo sahihi pia mtu wa Transport and Logistics management angeweza kupata tabu na huo mtihani.
Mtu wa Procurement angeweza kujipapatua kidogo, kwani wanasoma pia Inventory Management & Warehousing
Lakini si kwa mtu makini wa Shipping,
Documents hitajika ili utoe gari au mzigo wanasoma kwenye customs procedures.
Stowage plans wanasoma kwenye inventory management & warehousing.
Clearing and forwarding ni module wanasoma, Demurrage etc etc etc
Watu wa Hr, Statistics, etc etc stood no chance.
Sent using
Jamii Forums mobile app