Baadhi ya maswali TPA

Baadhi ya maswali TPA

Hyo paper unavyoina labda kwa mtu mwenye uzoefu na amefanya practical sivyo Italian hao logistic and transport management sio maswali yote watajibu happ nusu tu hwataboi kuna vitu hapo vya field zaidi angalia swali la 5 ilo ni la clearing and forwarding pure.

Hapo mtu ajue kuanzia kuja na import permit /transport permit process zote za TPA mpaka kuja kupata gate pass yaani gate out na ajue izo shipment Kuna direct delivery Kuna condition zake sana sana ujue kuendana na yule gate operator uwe na baadhi ya documents za mzigo kama Delivery order kutoka shipping line taarifa za madereva wale na namba za magari mpaka chasis number zikitofautian gari halitoki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hapo clearing&forwarding agent ndo anasimamia show

Hapo mpaka uwe field la swali unapiga easy

Maswali yanaeleweka karibia yote sema unatakiwa ujue field ndo utaeleza vizuri mfano stowage plan hapo kuandaa space katika meli ili kupanga containers kuna vitu vya kujua mfano list of dangerous goods(DG) ili ujue unaziweka vip zisije kuleta madhara

Demmurage ni kama vile detention yaani kuzuiliwa Kwa meli na wale charter Kwa kushindwa kupakia au kushusha mzigo katika mda husika unakuta zinatolewa pale berth mpaka ije lipiwa dummurage charges
Naona upo field mzee [emoji3]

Upo sahihi, point yangu ni kuwa mtihani haukua kipimo sahihi kwa watu wa courses zote.

Na upo sahihi pia mtu wa Transport and Logistics management angeweza kupata tabu na huo mtihani.

Mtu wa Procurement angeweza kujipapatua kidogo, kwani wanasoma pia Inventory Management & Warehousing

Lakini si kwa mtu makini wa Shipping,

Documents hitajika ili utoe gari au mzigo wanasoma kwenye customs procedures.

Stowage plans wanasoma kwenye inventory management & warehousing.

Clearing and forwarding ni module wanasoma, Demurrage etc etc etc

Watu wa Hr, Statistics, etc etc stood no chance.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona upo field mzee [emoji3]

Upo sahihi, point yangu ni kuwa mtihani haukua kipimo sahihi kwa watu wa courses zote.

Na upo sahihi pia mtu wa Transport and Logistics management angeweza kupata tabu na huo mtihani.

Mtu wa Procurement angeweza kujipapatua kidogo, kwani wanasoma pia Inventory Management & Warehousing

Lakini si kwa mtu makini wa Shipping,

Documents hitajika ili utoe gari au mzigo wanasoma kwenye customs procedures.

Stowage plans wanasoma kwenye inventory management & warehousing.

Clearing and forwarding ni module wanasoma, Demurrage etc etc etc

Watu wa Hr, Statistics, etc etc stood no chance.



Sent using Jamii Forums mobile app
Walitengwa kiani akufukuzae hakwambii toka 🤣🤣🤣jamaa kapost ni bora niendelee kupost biashara za udalali wa simu kuliko kwenda Dodoma kufany interview
 
Nimesomea manunuzi. Ila maswali yote haya najibu. Kuna nyuzi wanalalamika maswali yalikuwa magumu. Yaani haya ndio magumu?
Tema mate chini boss.

Wewe wa Procurement & Supply kusema kuwa ungejibu hiyo paper yote bila tabu ni kutudanganya tu [emoji3]

Ungejipapatua kiasi hapo kwenye stowage plans, order and delivery & storage operations kwa sababu ni vitu mnasoma.

Anyway watu wanalalamika sababu hakukua na usawa, hebu niambie mtu wa Human Resources Management au Statistics alikua anajibu nini hapo?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pepa la leo la TPA

Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship
ii) Dumerrage
iii) heavy lift service

2. Meanig of
i) Quay transfer
ii) storage operation
iii) ship operation
iv) delivery and receipt operation

3. Documents required in:
i) general cargo clearing,
ii) motor vehicle,
iii) Container terminal movement
iv) Transhipment

4. a) what is stowage plan
b) 3 main content of a stowage plan

5. Steps of handling a truck that came to pick up a ceared good.
You don’t deserve kuajiriwa

Sharing these kinds of info require approvals
 
D
Pepa la leo la TPA

Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship
ii) Dumerrage
iii) heavy lift service

2. Meanig of
i) Quay transfer
ii) storage operation
iii) ship operation
iv) delivery and receipt operation

3. Documents required in:
i) general cargo clearing,
ii) motor vehicle,
iii) Container terminal movement
iv) Transhipment

4. a) what is stowage plan
b) 3 main content of a stowage plan

5. Steps of handling a truck that came to pick up a ceared good.
Daaah! Hapo pagumu wajomba......
 
Dah haikua haki kwa mliotoka courses za Procurement, Statistics etc etc

Paper ni pure Shipping.

Mtu makini wa Shipping and Logistics Management hiyo paper ilikua kitonga sana aisee. Mtu wa Transport and Logistics Management stood a chance pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
mtu yeyote ambaye amefanya kazi kwenye clearing and forwarding company kwa umakini na amecheza na documents kwa muda mrefu hio paper ananyoosha mazima. Hasa wanaodili na mizigo ya local na transit yani ni kitonga sana hio paper watakuwa ndio watu pekee wanachekelea ushindi humo.
 
Back
Top Bottom