Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

Watu wengine wanapenda kujifariji tu, wachezaji wengi bora kama romario, carlos, laudrap , cruyff etc wanamkubali zizzou, zizzou ni mchezaji bora namba tano kwa wakati wote
 
We ndio maandazi mi nazungumzia ubora wa uwanjani rekodi bora kuliko wote huyu ni pele tu hakuna nwingine

Diego kacheza clubs kibao ulaya na kwao agentina na ameleta mafanikio makubwa ndani ya hizo timu na kusababisha kutwaa makombe, timu alizochezea ni timu ngumu kuwahi kutokea,madifensi walikuwa wa uhakika na wenye nguvu, sasa ukiniambia huyo pele wako alikuwa bora kumzidi mhuni Diego nashindwa kukupata. wakati pele amecheza club nyepesi isiyokuwa na mvuto, (santos) wachezaji hawakuwa na tofauti yeyote na wakwetu akina yanga na simba na sheria ngumu kipindi hicho haikuwepo,hivyo magoli yalikuwa yanaingia kama njugu.

Tafakari tu! Kipindi hicho kama ni diego au messi tu angekuwa na magoli mangapi?

Soma hapa acha kujisemea;
Maradona ndiye “mwanasoka bora wa muda wote” wa Shirikisho la Kandanda la Dunia (FIFA). Alishinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Karne iliyofanyika kwa uwazi mwaka 1999 na kumtupilia mbali Pelé.

Mchuano huo uliendeshwa na mtandao rasmi wa FIFA, jarida la shirikisho hilo na mfumo wa kisheria. Alikusanya asilimia 53.6 akifuatiwa na Pelé aliyepata asilimia 18.53 tu kati ya kura zote zilizopigwa.

mshambuliaji aliyekuwa na kila ujuzi anaopaswa awe nao mwanasoka mwenye kipaji kilichopitiliza. Alichukua mpira kutoka umbali wa mita 60 upande wa timu yake, akaanza kuwachambua mabeki mmoja baada ya mwingine hadi wote watano walipokwisha, kisha akahitimisha kwa kipa naye kumlamba chenga na kubaki akiangaliana uso kwa uso na goli lililo wazi.

Mwanasoka huyo wa zamani bado anakumbukwa jinsi alivyokuwa akiuchezea mpira anavyopenda, akapiga chenga anavyotaka yeye mwenyewe, akapenya mahali popote, wakati wowote na kuwadhalilisha mabeki kama alivyowafanyia wa timu ya taifa ya England katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 1986.
 
Sizungumzii kucheza clubs kibao we shabiki maandazi mesi amecheza club 1 tu lakini kiubora ni zaidi ya maradona
Pele kacheza clubs 2 lakini alichokifanya katika clubs hizo na timu ya taifa ya brazili hakuna mchzaji yeyote ambae amefanya
 
King wa soka ni nani maradona katwaa kombe la dunia mara ngapi?
Kacheza katka kiwango gani ukiacha bao lake la mkono
 
ww zizzou noma, huyo anayesema gaucho ni bora kuliko zizzou labda hajui vitu muhimu kwenye mpira, yy anapenda madoido, muulize aliangalia world cup france vs brazil, zizzou aliwafanya vibaya kaka na gaucho

Sijapata kuona mchezaji anakata mauno,kucheka cheka ka demu kama GAUNI....NEIMAR pia alianza kufuata nyayo zake lakini MESSI akamweka sawa.
 
Sizungumzii kucheza clubs kibao we shabiki maandazi mesi amecheza club 1 tu lakini kiubora ni zaidi ya maradona
Pele kacheza clubs 2 lakini alichokifanya katika clubs hizo na timu ya taifa ya brazili hakuna mchzaji yeyote ambae amefanya

Wewe kilaza kweli! Ukibishana na mimi kwenye soka utanikimbia coz najua hutoweza

Swali; nani zaidi kati ya hawa...Messi,maradona,pele?
 
Wewe kilaza kweli! Ukibishana na mimi kwenye soka utanikimbia coz najua hutoweza

Swali; nani zaidi kati ya hawa...Messi,maradona,pele?
Ubora recods magoli king of kumiliki mpira kombe la dunia hapa unampata staa wa kweli ni pele tu wengine wanafuata
 
King wa soka ni nani maradona katwaa kombe la dunia mara ngapi?
Kacheza katka kiwango gani ukiacha bao lake la mkono

Wewe usipindishe hapa tunazungumzia ubora na si kombe...kama ni makombe ya clubs, world cup maradona kamzidi huyo babu yako, na kama ubora na uchezaji bora wa dunia kuwahi kutokea ni maradona, (rejea kusoma kile kipengele nilichokutumia hapo mwanzo)ukiniambia mwenye magoli mengi ntakukubalia kuwa pele ndio mwenye mengi zaidi, japo magoli mengi ya offside,...kwangu mimi utakesha dogo huwa sichoki
 
Hujanielewa, niliposema maswali yamekosa majibu ni kwamba hakuna jibu sahihi, kila mmoja anajibu kwa mtazamo wake mwisho wa siku kuna kuwa na majibu mawili yenye kukaribiana.
Basi ungesema "Maswali yenye majibu mengi/tofauti" kusema HAKUNA JIBU ni kitu kingine kabisa...
 
Ubora recods magoli king of kumiliki mpira kombe la dunia hapa unampata staa wa kweli ni pele tu wengine wanafuata

Untaka kuniambia wewe unaakili nyingi sana kuizidi FIFA na MASHABIKI duniani kote waliomchagua DIEGO sindio?

Asilimia 58 na point. alizopata maradona kutoka kwa mashabiki duniani, na fifa kutangaza matokeo hayo ni wajinga sana eti?????..wakati pele kaambulia asilimia 18 tu, wewe kubali tu shabiki mandazi na hujui chochote about soccer, upo upo tu.
 
Nilidhani unauliza maswali haya:
  1. Ilikuwaje kuwa je huko nyuma mpk soka ukawa mchezo wa timu yenye wachezaji 11 tu!
  2. Kwa nini mistari ya viwanja vya soka ina rangi nyeupe, why not yellow?
  3. Kwa nini wachezaji soka hawavai singlets kama zile za nba
  4. Nini kazi ya vile vibendera?
  5. Kwa nini mpira ukivuka mstari na kuwa goli, wazungu wanasema "back of the net" lkn wamatumbi wenzetu wanasema "ndani ya nyavu" au "ndani ya goli"
  6. Ilikuwaje wakaamua namba za jezi zikae mgongoni, na sio kifuani, kuna wkt refa anamuomba mchezaji ageuke ili aone namba!
  7. Kuna siri gani kwa kadi za referee kuwa red na yellow, wakati soka ni fair play na pia rangi ya amani tunaamini ni white, kwa nn soka haitumii cards mf black na green!
  8. Nini kazi ya lile duara la kati kati ktk uwanja wa soka!
 
Kila kombe la dunia likifanyika anaonekana pele tu unajua why fifa wanamtambua pele kama mfalme wa football duniani hizo nyingine ni ngonjera tu
 

1 DIEGO10S
2 LEO10S
3
4 alimtukania sista yake
5 Barca
6
7 Zidane
 


1 NO
2 YES
3 NO
4 YES
5 YES
6
7 YES


Hapo kwenye NO mweke DIEGO kutokana na election iliyofsnyika 1990 na ni wa haki kabisa.
 

Kwa messi umenena....but gaucho atasubiri mno kwa mwarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…