DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
kaka kumbe uliona ,achana na zizzou, we unafikiri Italy wajinga mpaka wakafanya sabotage kumtumia materazi hili zizzou atolewe,
😀😀Niliicheki mkuu, brazil ilichezewa nusu uwanja dkk zote 90...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka kumbe uliona ,achana na zizzou, we unafikiri Italy wajinga mpaka wakafanya sabotage kumtumia materazi hili zizzou atolewe,
Watu wengine wanapenda kujifariji tu, wachezaji wengi bora kama romario, carlos, laudrap , cruyff etc wanamkubali zizzou, zizzou ni mchezaji bora namba tano kwa wakati woteHahahaaa mkuu hawa tunawaita (shabiki mandazi wafuata mkia) hapa tanzania kuna tabia moja, huwa wanaangalia majina ya wachezaji na si ubora wa mchezaji. Huyo gaucho kashika nafasi ya 31 katika best players....lakini kuna mijitu isiyojitambua inatuambia eti gaucho ni zaidi ya zidane huwa nashindwa kuwaeleia wa! Ukiwaomba, facts, evidence and statisticts hawaleti bali wanang'ang'ania tu gaucho weka mbali na watoto.hawa ni wakuwapuuza si washabiki haswaaa.
hahaaaaaa, alafu mtu anakupuka gaucho bora😀😀Niliicheki mkuu, brazil ilichezewa nusu uwanja dkk zote 90...
We ndio maandazi mi nazungumzia ubora wa uwanjani rekodi bora kuliko wote huyu ni pele tu hakuna nwingine
Watu wengine wanapenda kujifariji tu, wachezaji wote bora kama romario, Michael laudrap , ancelloti wanamkubali zizzou
hahaaaaaa, alafu mtu anakupuka gaucho bora
Sizungumzii kucheza clubs kibao we shabiki maandazi mesi amecheza club 1 tu lakini kiubora ni zaidi ya maradonaDiego kacheza clubs kibao ulaya na kwao agentina na ameleta mafanikio makubwa ndani ya hizo timu na kusababisha kutwaa makombe, timu alizochezea ni timu ngumu kuwahi kutokea,madifensi walikuwa wa uhakika na wenye nguvu, sasa ukiniambia huyo pele wako alikuwa bora kumzidi mhuni Diego nashindwa kukupata. wakati pele amecheza club nyepesi isiyokuwa na mvuto, (santos) wachezaji hawakuwa na tofauti yeyote na wakwetu akina yanga na simba na sheria ngumu kipindi hicho haikuwepo,hivyo magoli yalikuwa yanaingia kama njugu.
Tafakari tu! Kipindi hicho kama ni diego au messi tu angekuwa na magoli mangapi?
Soma hapa acha kujisemea;
Maradona ndiye “mwanasoka bora wa muda wote” wa Shirikisho la Kandanda la Dunia (FIFA). Alishinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Karne iliyofanyika kwa uwazi mwaka 1999 na kumtupilia mbali Pelé.
Mchuano huo uliendeshwa na mtandao rasmi wa FIFA, jarida la shirikisho hilo na mfumo wa kisheria. Alikusanya asilimia 53.6 akifuatiwa na Pelé aliyepata asilimia 18.53 tu kati ya kura zote zilizopigwa.
mshambuliaji aliyekuwa na kila ujuzi anaopaswa awe nao mwanasoka mwenye kipaji kilichopitiliza. Alichukua mpira kutoka umbali wa mita 60 upande wa timu yake, akaanza kuwachambua mabeki mmoja baada ya mwingine hadi wote watano walipokwisha, kisha akahitimisha kwa kipa naye kumlamba chenga na kubaki akiangaliana uso kwa uso na goli lililo wazi.
Mwanasoka huyo wa zamani bado anakumbukwa jinsi alivyokuwa akiuchezea mpira anavyopenda, akapiga chenga anavyotaka yeye mwenyewe, akapenya mahali popote, wakati wowote na kuwadhalilisha mabeki kama alivyowafanyia wa timu ya taifa ya England katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 1986.
ww zizzou noma, huyo anayesema gaucho ni bora kuliko zizzou labda hajui vitu muhimu kwenye mpira, yy anapenda madoido, muulize aliangalia world cup france vs brazil, zizzou aliwafanya vibaya kaka na gaucho
Sizungumzii kucheza clubs kibao we shabiki maandazi mesi amecheza club 1 tu lakini kiubora ni zaidi ya maradona
Pele kacheza clubs 2 lakini alichokifanya katika clubs hizo na timu ya taifa ya brazili hakuna mchzaji yeyote ambae amefanya
Ubora recods magoli king of kumiliki mpira kombe la dunia hapa unampata staa wa kweli ni pele tu wengine wanafuataWewe kilaza kweli! Ukibishana na mimi kwenye soka utanikimbia coz najua hutoweza
Swali; nani zaidi kati ya hawa...Messi,maradona,pele?
King wa soka ni nani maradona katwaa kombe la dunia mara ngapi?
Kacheza katka kiwango gani ukiacha bao lake la mkono
Basi ungesema "Maswali yenye majibu mengi/tofauti" kusema HAKUNA JIBU ni kitu kingine kabisa...Hujanielewa, niliposema maswali yamekosa majibu ni kwamba hakuna jibu sahihi, kila mmoja anajibu kwa mtazamo wake mwisho wa siku kuna kuwa na majibu mawili yenye kukaribiana.
Ubora recods magoli king of kumiliki mpira kombe la dunia hapa unampata staa wa kweli ni pele tu wengine wanafuata
Mchezo wa soka ni moja kati ya michezo yenye mvuto na msisimko mkubwa, lakini pia ni mchezo wenye matukio mengi mazuri, mabaya na hata ya kuhuzunisha.
Yafuatayo ni baadhi ya maswali ambayo kwa namna fulani yamekosa majibu ya moja kwa moja.
1. Pele na Maradona ni nani Mchezaji bora wa wakati wote
2. Ronaldo na Messi ni yupi Mchezaji bora kuliko mwenzake?
3. Kati ya Ronaldo, Thiery Henry na Denis Bergkamp yupi ni mchezaji bora zaidi wa kigeni kucheza EPL?
4.Nini chanzo cha ugomvi baina ya Zidane na Marco Materazzi katika fainali ya world cup 2006?
5. Barcelona ya 2009-2011 na Brazil ya 1970 iliyochukua ubingwa wa dunia, ipi ni timu bora zaidi katika historia ya soka?
6.Kombinesheni ya Frank Lampard na Steven Gerrard katika timu ya taifa ya England imewahi kuwa na mafanikio?
7.Nani alikuwa fundi zaidi kati ya Zidane na Gaucho?
Weka na wewe Maswali yako unayohisi hayajawahi kuwa na majibu halisi.
1.pele
2.messi
3.thiery henry "chogo"
4.lugha chafu
5.brazil ya 1970
6.hapana
7.gaucho
Yamekosa majibu kwa mujibu wa nani?
1.Pele, ana mafanikio makubwa ki-soka, + ni mfano m'zuri kwa jamii. Hakuna unachoweza kujifunza kutoka kwa teja na mropokaji.
2. Messi, ana-ofa vitu vingi zaidi.
3. Cristiano. Ballon d'or, Champs league, golden boot.
4. Maneno machafu ya Materazzi.
6. Timu ya taifa ya England haijawahi kuwa na mafanikio katika kipindi cha hao jamaa.
7. Zidane. Consistent, discipline, more individual success, team leading qualities.
Cristiano ronaldo kumfananisha na "magic messi" huko ni kumtukana messi, messi is ana amazing player existed in this planet. Then zidane na Ronaldinho gaucho huo utakuwa utani aisee, Gaucho ni mtu aliyeujua mpira kuliko player mwingine na cidhani km kuna player atakuja kuonesha ufundi km dinho kwenye kizazi hiki cha akina baloteli+rooney+neymar jr+etc. So stop comparing dinho na huyo kipara zidane.