Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

HAYA NDO YALEE YA TumainiEl hii original post ilikuwa na vitu 8(sasa zaidi ya 11), mnafanya kuedit kuongeza matukio yanayotokea (huu ni upotoshaji wala sii utabiri )... UhUni wa kitoto!!
admin Maxence Melo post za namna hii ziwe zinakuwa locked kuedit au kuwe na provision ya kuonyesha edit time stamp
Ukitaka kuhakiki nitakupa link ya yaliyosemwa yote katika mkesha huo kama ukikuta kuna kitu nimeongeza siyo tu post ifungiwe nipewe adhabu kali zaidi hata ban, napenda sana kuandika ninachokiamini Mkuu
 
Back
Top Bottom