Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam Kila nafsi itaonja mauti, ila tujifunze kwanzaNabii malisa atakufa
Bado siyo mapema sana, na muda unatembea na kusudi lake.Sawa ngoja tusubiri
How to survive 2024 in Tanzania [emoji1241]
1. Sitaki
2. Sina
3. Sitaweza
4. Sipo
5. Haiwezekani
6. Haipo
7. Imeisha
Fuatilia Japan ndani ya saa moja likilopita ni nini kimetokea au angalia hapo juu nimeonesha, tuendelee kuhakikisha.Katika yote hayo litakalotimia ni hilo namba 5 pekee.
1. Kutaibuka teknolojia itakayoweza kutafsiri mtoto mdogo akilia anahitaji kitu gani? Tahadhari ni kwamba teknolojia hii itafika Afrika na Tanzania kwa upekee, teknolojia hii itakuwa katika majaribio hivyo ni rahisi kuacha madhara makubwa ya kiakili kwa watoto.
2. Kutaibuka ugonjwa wa virusi mithili ya UVIKO-19 lakini virusi hivyo vitakuwa vinasababisha watu kusinzia mara Kwa mara.
3. Chama kinachoongoza Afrika ya kusini kitashinda katika kura za uchaguzi ujao ila kutakuwa na vurugu.
4. Kutakuwa na mapinduzi ya Kijeshi katika nchi ya Mali
5. Majanga makubwa kutokana na mabadiliko tabia nchi yataendelea kutokea Tanzania
(a) Kutakuwa na mvurugiko wa misimu utakaoathiri Kilimo cha mvua mfano katikati ya msimu wa mvua jua linaweza kuwa Kali au katikati ya msimu wa jua mvua kunyesha jambo ambalo ni tofauti na mazoea.
6. Kuna Mtumishi wa Mungu jina lake lina herufi "S" katikati ambaye amekuwa na tatizo la moyo kwa muda sasa na jambo hili limefanywa siri, mwa kahuu tumuombee sana.
7. Kutatokea ajali ya ndege ya Shirika linaloanza na herufi "E" katika Bahari ya Hindi
8. Mwaka huu kuna meli kubwa itaungua kwa moto na huo utakuwa mwanzo wa namba ya mnyama kuwa waziwazi Afrika na Tanzania kwa upekee.
9. Kutakuwa na matetemeko ya ardhi makubwa katika nchi ya Japan
10. Kuna msanii mkubwa anayejihusha na biashara ya dawa za kulevya, asipojirekebisha mwaka huu ataingia korokoroni.
Ikumbukwe Numerolojia yenyewe haizingatii utabiri wa majanga au matukio ya kina ya kihistoria. Inachunguza tu nambari na maana zao katika muktadha wa kibinafsi au kijamii. Kwa hivyo, haina uwezo wa kutabiri majanga au matukio maalum katika mwaka wowote.
Ili kuyasikia yote fuatilieni video note ya mkesha wa mwaka mpya, hapa nimeandika machache tu niliyoyakumbuka
Chanzo: Nabii Clear Malisa
Anza kuweka tick hapo kwenye tukio la Japan kisha tuendelee kuhakiki.Sisi nyuzi kama hizi huwa tunazi-quote, halafu tunasubiri mwezi hadi mwezi...
Anza kuweka tick hapo kwenye tukio la Japan kisha tuendelee kuhakiki.
Kikitokea unaitwaje Mkubwa?..Na ndio maana zinaitwa tabiri yaani kitu usichokuwa na uhakika nacho

Ajali Tayari Japan [emoji627]1. Kutaibuka teknolojia itakayoweza kutafsiri mtoto mdogo akilia anahitaji kitu gani? Tahadhari ni kwamba teknolojia hii itafika Afrika na Tanzania kwa upekee, teknolojia hii itakuwa katika majaribio hivyo ni rahisi kuacha madhara makubwa ya kiakili kwa watoto.
2. Kutaibuka ugonjwa wa virusi mithili ya UVIKO-19 lakini virusi hivyo vitakuwa vinasababisha watu kusinzia mara Kwa mara.
3. Chama kinachoongoza Afrika ya kusini kitashinda katika kura za uchaguzi ujao ila kutakuwa na vurugu.
4. Kutakuwa na mapinduzi ya Kijeshi katika nchi ya Mali
5. Majanga makubwa kutokana na mabadiliko tabia nchi yataendelea kutokea Tanzania
(a) Kutakuwa na mvurugiko wa misimu utakaoathiri Kilimo cha mvua mfano katikati ya msimu wa mvua jua linaweza kuwa Kali au katikati ya msimu wa jua mvua kunyesha jambo ambalo ni tofauti na mazoea.
6. Kuna Mtumishi wa Mungu jina lake lina herufi "S" katikati ambaye amekuwa na tatizo la moyo kwa muda sasa na jambo hili limefanywa siri, mwa kahuu tumuombee sana.
7. Kutatokea ajali ya ndege ya Shirika linaloanza na herufi "E" katika Bahari ya Hindi
8. Mwaka huu kuna meli kubwa itaungua kwa moto na huo utakuwa mwanzo wa namba ya mnyama kuwa waziwazi Afrika na Tanzania kwa upekee.
9. Kutakuwa na matetemeko ya ardhi makubwa katika nchi ya Japan
10. Kuna msanii mkubwa anayejihusha na biashara ya dawa za kulevya, asipojirekebisha mwaka huu ataingia korokoroni.
Ikumbukwe Numerolojia yenyewe haizingatii utabiri wa majanga au matukio ya kina ya kihistoria. Inachunguza tu nambari na maana zao katika muktadha wa kibinafsi au kijamii. Kwa hivyo, haina uwezo wa kutabiri majanga au matukio maalum katika mwaka wowote.
Ili kuyasikia yote fuatilieni video note ya mkesha wa mwaka mpya, hapa nimeandika machache tu niliyoyakumbuka
Chanzo: Nabii Clear Malisa
Alisema bahari ya Hindi.Ajali Tayari Japan [emoji627]
This time ni tofauti na mazoeaSema inaonekana Japan matetemeko ni jambo la kawaida, huwa yanatokea sanaa mpk raia wamezoea
BullshitChanzo: Nabii Clear Malisa