Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

Severe natural disasters: 2024 predictions by modern Nostradamus​

Death and devastation on a global scale - the "modern Nostradamus" predicts a series of natural disasters that will begin in 2024 and continue throughout the year. What about Israel? ( The Jerusalem Post: By WALLA!NOVEMBER 29, 2023 14:35​

Pitia hiyo halafu uje
Sasa hiyo ndio nini? si hata mimi naweza kuandika hivyo sasa hivi kwa mambo yaliyotokea mwaka juzi nikaposti kisha nikakwambia pitia hiyo halafu uje.
 
By Mersiha Gadzo
Published On 1 Jan 2024
  • Japan issues tsunami alerts, urging people to evacuate coastal areas after a series of strong quakes hit its western coastline.
  • The Japan Meteorological Agency reports quakes off the coast of Ishikawa and nearby prefectures, one with a preliminary magnitude of 7.6.

Aljazeera.
 
Sasa hiyo ndio nini? si hata mimi naweza kuandika hivyo sasa hivi kwa mambo yaliyotokea mwaka juzi nikaposti kisha nikakwambia pitia hiyo halafu uje.
Ingia ufuatlie source kama ukinikuta Mimi uje useme
 
Hiyo namba 2. Utakuwa ugonjwa mwingine tofauti na TAUNI mkuu?

Alafu haujasema, mama mwaka huu atatoa movie ngapi ukitoa ile ya aliyowashirikisha Wachina!
 
Hiyo namba 2. Utakuwa ugonjwa mwingine tofauti na TAUNI mkuu?

Alafu haujasema, mama mwaka huu atatoa movie ngapi ukitoa ile ya aliyowashirikisha Wachina!
Ah..ah....tunafuatilia kwa karibu.
 
Good enough ninaelewa kupuuzia watu wapuuzi.
Umepuuzia wapi wakati kila comment yangu unaijibu?
Acha kusambaza ujinga kwenye jamii,hizi ni zama za teknolijia na sayansi,sio zama za illusion na kuamini utabiri.
 
Umepuuzia wapi wakati kila comment yangu unaijibu?
Acha kusambaza ujinga kwenye jamii,hizi ni zama za teknolijia na sayansi,sio zama za illusion na kuamini utabiri.
Nakujibu kulingana na uelewa wako, fuatilia utaona
 
Yani utabiri ni mambo mabaya tu, vifo, ajali, moto hamna hata mavuno, mapato, biashara kushamiri.
 
1. Kutaibuka teknolojia itakayoweza kutafsiri mtoto mdogo akilia anahitaji kitu gani? Tahadhari ni kwamba teknolojia hii itafika Afrika na Tanzania kwa upekee, teknolojia hii itakuwa katika majaribio hivyo ni rahisi kuacha madhara makubwa ya kiakili kwa watoto.

2. Kutaibuka ugonjwa wa virusi mithili ya UVIKO-19 lakini virusi hivyo vitakuwa vinasababisha watu kusinzia mara Kwa mara.

3. Chama kinachoongoza Afrika ya kusini kitashinda katika kura za uchaguzi ujao ila kutakuwa na vurugu.

4. Kutakuwa na mapinduzi ya Kijeshi katika nchi ya Mali

5. Majanga makubwa kutokana na mabadiliko tabia nchi yataendelea kutokea Tanzania
(a) Kutakuwa na mvurugiko wa misimu utakaoathiri Kilimo cha mvua mfano katikati ya msimu wa mvua jua linaweza kuwa Kali au katikati ya msimu wa jua mvua kunyesha jambo ambalo ni tofauti na mazoea.

6. Kuna Mtumishi wa Mungu jina lake lina herufi "S" katikati ambaye amekuwa na tatizo la moyo kwa muda sasa na jambo hili limefanywa siri, mwa kahuu tumuombee sana.

7. Kutatokea ajali ya ndege ya Shirika linaloanza na herufi "E" katika Bahari ya Hindi

8. Mwaka huu kuna meli kubwa itaungua kwa moto na huo utakuwa mwanzo wa namba ya mnyama kuwa waziwazi Afrika na Tanzania kwa upekee.

9. Kuna msanii mkubwa anayejihusha na biashara ya dawa za kulevya, asipojirekebisha mwaka huu ataingia korokoroni.

Ikumbukwe Numerolojia yenyewe haizingatii utabiri wa majanga au matukio ya kina ya kihistoria. Inachunguza tu nambari na maana zao katika muktadha wa kibinafsi au kijamii. Kwa hivyo, haina uwezo wa kutabiri majanga au matukio maalum katika mwaka wowote.

Chanzo: Nabii Clear Malisa
Sasa mbn hii itakua noma zaidi ya noma wakuu tufanyeje hiyo virus mkae chonjo
 
Yani utabiri ni mambo mabaya tu, vifo, ajali, moto hamna hata mavuno, mapato, biashara kushamiri.
pitia humo utaona baadhi ya hints Mkuu
 
Back
Top Bottom