1. Kutaibuka teknolojia itakayoweza kutafsiri mtoto mdogo akilia anahitaji kitu gani? Tahadhari ni kwamba teknolojia hii itafika Afrika na Tanzania kwa upekee, teknolojia hii itakuwa katika majaribio hivyo ni rahisi kuacha madhara makubwa ya kiakili kwa watoto.
2. Kutaibuka ugonjwa wa virusi mithili ya UVIKO-19 lakini virusi hivyo vitakuwa vinasababisha watu kusinzia mara Kwa mara.
3. Chama kinachoongoza Afrika ya kusini kitashinda katika kura za uchaguzi ujao ila kutakuwa na vurugu.
4. Kutakuwa na mapinduzi ya Kijeshi katika nchi ya Mali
5. Majanga makubwa kutokana na mabadiliko tabia nchi yataendelea kutokea Tanzania
(a) Kutakuwa na mvurugiko wa misimu utakaoathiri Kilimo cha mvua mfano katikati ya msimu wa mvua jua linaweza kuwa Kali au katikati ya msimu wa jua mvua kunyesha jambo ambalo ni tofauti na mazoea.
6. Kuna Mtumishi wa Mungu jina lake lina herufi "S" katikati ambaye amekuwa na tatizo la moyo kwa muda sasa na jambo hili limefanywa siri, mwa kahuu tumuombee sana.
7.Kutatokea ajali ya ndege ya Shirika linaloanza na herufi "E" katika Bahari ya Hindi
8. Mwaka huu kuna meli kubwa itaungua kwa moto na huo utakuwa mwanzo wa namba ya mnyama kuwa waziwazi Afrika na Tanzania kwa upekee.
Chanzo: Nabii Clear Malisa